Naombeni ushauri kabla hili halijaniua

Naombeni ushauri kabla hili halijaniua

Habari zenu, Kwa kweli naomba mnipe ushauri maana ni siku ya tano sasa sili wala silali mpaka nimeamua kuja mbeli zenu mnipe Masada WENU
Maana naona sasa naenda kupata tatizo la moyo.

Kisa kiko hivi mm nimeoa Kwa ndoa kabsa na ndoa ina miaka 3, tumebahatika kupata mtoto mmoja, Mimi na mke hatukuwahi kuwa na ugomvi wowote mm na yeye.
Kila kitu nilijitahidi kumtimizia kadili ya uwezo, na baadae nikamfungulia Duka.
Sasa wiki moja nyuma nilipata safari ya ghafla
nikasafiri baada ya kusafiri nimekaa kama siku tatu mke wangu akaniambia kuwa kuna jirani kapata msiba akumuone.
Basi mm nikamruhusu aende baada ya kwenda masaa kama mawili napigiwa simu na jamaa yangu kuwa kamuona akiwa na jamaa wakiingia ndani Kwa jamaa.
Niliumia Sana kupata taarifa hizo ikabidi nigeuke Kesho yake na kumhoji kuwa ilikuwaje anidanganye kuwa anaenda msibani kumbe si kweli.
Akaniambia kuwa ameenda ila akapotea na wakati anarudi ndo amekutana na jamaa ambaye alikuwa anamtongoza na kuongozana kwenda kwake ila akaniambia kuwa hawakufanya mapenzi.
Sasa nimeshindwa kuamini kuwa kweli hawakufanya na na je mwanamke kama huyu anastahili msamaha hata kama kweli hakucheat?
Pls nisaidieni
Mungu nisaidie nisioe mke mpumbavuu..
 
dahh ukiona manyonya jua kashaliwa

nikupe pole san kwanz kile kitendo cha kwenda kwa jamaa had hapo ni moja ya usaliti mke inaonyesha nyege zinamsumbua san alaf n mwepes san au ni kitoto cha elf mbili!??
 
Piga chini, hana akili kabisa. Wanawake wa hivyo sio wakuoa. Yani kwenda kwa jirani kutoa pole ya msiba hadi a_report kwako?. Wanawake wa kuagaaga waongo sana.
 
Nil
Habari zenu, Kwa kweli naomba mnipe ushauri maana ni siku ya tano sasa sili wala silali mpaka nimeamua kuja mbeli zenu mnipe Masada WENU
Maana naona sasa naenda kupata tatizo la moyo.

Kisa kiko hivi mm nimeoa Kwa ndoa kabsa na ndoa ina miaka 3, tumebahatika kupata mtoto mmoja, Mimi na mke hatukuwahi kuwa na ugomvi wowote mm na yeye.
Kila kitu nilijitahidi kumtimizia kadili ya uwezo, na baadae nikamfungulia Duka.
Sasa wiki moja nyuma nilipata safari ya ghafla
nikasafiri baada ya kusafiri nimekaa kama siku tatu mke wangu akaniambia kuwa kuna jirani kapata msiba akumuone.
Basi mm nikamruhusu aende baada ya kwenda masaa kama mawili napigiwa simu na jamaa yangu kuwa kamuona akiwa na jamaa wakiingia ndani Kwa jamaa.
Niliumia Sana kupata taarifa hizo ikabidi nigeuke Kesho yake na kumhoji kuwa ilikuwaje anidanganye kuwa anaenda msibani kumbe si kweli.
Akaniambia kuwa ameenda ila akapotea na wakati anarudi ndo amekutana na jamaa ambaye alikuwa anamtongoza na kuongozana kwenda kwake ila akaniambia kuwa hawakufanya mapenzi.
Sasa nimeshindwa kuamini kuwa kweli hawakufanya na na je mwanamke kama huyu anastahili msamaha hata kama kweli hakucheat?
Pls nisaidieni
Habari zenu, Kwa kweli naomba mnipe ushauri maana ni siku ya tano sasa sili wala silali mpaka nimeamua kuja mbeli zenu mnipe Masada WENU
Maana naona sasa naenda kupata tatizo la moyo.

Kisa kiko hivi mm nimeoa Kwa ndoa kabsa na ndoa ina miaka 3, tumebahatika kupata mtoto mmoja, Mimi na mke hatukuwahi kuwa na ugomvi wowote mm na yeye.
Kila kitu nilijitahidi kumtimizia kadili ya uwezo, na baadae nikamfungulia Duka.
Sasa wiki moja nyuma nilipata safari ya ghafla
nikasafiri baada ya kusafiri nimekaa kama siku tatu mke wangu akaniambia kuwa kuna jirani kapata msiba akumuone.
Basi mm nikamruhusu aende baada ya kwenda masaa kama mawili napigiwa simu na jamaa yangu kuwa kamuona akiwa na jamaa wakiingia ndani Kwa jamaa.
Niliumia Sana kupata taarifa hizo ikabidi nigeuke Kesho yake na kumhoji kuwa ilikuwaje anidanganye kuwa anaenda msibani kumbe si kweli.
Akaniambia kuwa ameenda ila akapotea na wakati anarudi ndo amekutana na jamaa ambaye alikuwa anamtongoza na kuongozana kwenda kwake ila akaniambia kuwa hawakufanya mapenzi.
Sasa nimeshindwa kuamini kuwa kweli hawakufanya na na je mwanamke kama huyu anastahili msamaha hata kama kweli hakucheat?
Pls nisaidieni
Nilichokiona kwako kwanza maamuzi unayo wewe mwenyewe inakupasa kuangalia faida na hasara za kuchukua maamuzi wakati Wa hasira. Ikunbukwe kwamba tabia za mkeo wewe ndio unazifaham pamoja na madhaifu yake,, tayari Kuna mtoto ambaye anahitaji malezi ya baba na mama ili akue katika maadili yanayofaa, ingependeza zaidi kabla yakuchukua maamuzi ambayo yataathiri ukuaji wa mtoto unaonanaje swala Hilo ukiwahusisha wazazi wote Wa pande mbili harafu mkanye kwakumaanisha maana yawezekana huyo mtu ni mtu wake hata kabla ya mahusiano yenu. Kwa kuwa swala la mahusiano ni Pana hebu tukupe wewe nafas utuambie sas unafikiria nini kuhusu Hilo Swala?
 
stori yako tamu inachekesha ila unaaibisha wanaume unakujaje kuomba ushauri huku? kwamba ww huelewi nn cha kufanya..... mpaka mwanamke anakuletea mauzauza hayo jua alishakusoma ubwege wako
 
Ngoja nikupe moyo ndugu yangu usije chukua maamuzi ambayo yata cost maisha yako.Katika wanawake walio kwenye ndoa ni asilimia si zaidi ya 10 ndio unaoweza kusema hawachepuki.Ila wanawake karibia 90 wote wanachepuka.Na hii inasababishwa na sababu nyingi sana..1.Mwanamke kabla haujamuoa tayari alikuwa na wapenzi wake huko nyuma(Hapa ogopa sana aliyemtoa bikra) 2. Wanawake wana expectations nyingi sana toka kwa mwanaume,kwa hiyo akikosa mojawapo katika hizo lazima akatafute nje.3.Wanawake ,wanasikiliza sana shauri za mashost zao(Usiombee mashost zake wawe hawakupendi,utajuta).Kwa ufupi hizo ndio ninaona ni sababu kadhaa zinazofanya wanawake wengi wachepuke.Kiufupi kuishi na mwanamke ni kitu kigumu sana (Japo kuna waliobahatika wanaishi maisha matamu) ila wengi wao unahitaji uwe na moyo wa ujasiri uweze kuishi na mwanamke other wise unaweza chukua maamuzi magumu yakakufanya uishie pabaya.
 
Kula tikiti la baridi tukisema msioe mnasema aah watu wa mbeya tukuyu washamba haya
 
Back
Top Bottom