Naombeni ushauri kuhusu hiki nachosomea

Naombeni ushauri kuhusu hiki nachosomea

MWALIMU DAIMA

Senior Member
Joined
Mar 4, 2023
Posts
129
Reaction score
263
Mimi kijana umri miaka 22,

Nipo chuo mwaka wa pili, nasoma shahada ya kwanza ya ualimu sayansi biology na geography.

Naomba ushauri kwa umri huu, na Hali ya ajira ya taifa letu ni fanye mambo yapi na nizingatie nini ili niweze kufika hatima bora ya maisha yangu na familia Yangu kwa ujumla.

Karibuni waku
 
Ajira zipo piga kitabu
 
Kwanza angalia kilichopo mbele yako yaani mda huu kuwa bussy kusoma ...Kingine kila mtu ana riziki yake fanya vizuri piga masomo safi yaani kazi ..

Pambana na kusoma mdogo angu ya uko mbele achana nayo yatakuja tu automatically..Sasa piga kitabu kazi utapata hata kama sio ualimu kikubwa utaishi tu..

zali la mentali lipo mpaka kufika hapo sio masikhara ..Pambana sana mapenzi sijui kazi ukimaliza utapata ni swala la muda tu.
 
Umeongea point
 
Ni fanye mambo yapi
Usikose vipindi,
Som sana vitabu mbali mbali kukuza uwezo wako(shinda library)

Nizingatie nini ili niweze kufika hatma
Zingatia masomo yako
Kilichokupeleka kusoma sio mambo mengine.
 
Back
Top Bottom