Naombeni ushauri kuhusu hiki nachosomea

Naombeni ushauri kuhusu hiki nachosomea

Kazi kila siku napata ila malipo ndo ujinga unanipaje mim laki mbili😂nimefanya kaz sehem kama 6 nkaachana nao nipo zangu tu kitaa naroll lesen yangu nimekodisha
Daaah kweli laki 2 hapo hapana hata mi nisingekubali
 
Sawa sawa mkuu...
Ila bado usikate tamaaa unajua unapokaa sehemu kwa mda mrefu ndio unapata uzoefu pia hata pesa itaongezeka tuu
Sijakata tamaa wala usinipe moyo,,,ajira za lab zipo nying sana wa kumpa moyo ni huyo mwamba ambae anasoma😂
 
Soma tu mwaka wa tatu final semister rudi kutuomba ushauri maana kama ni maji tayari ushayavulia nguo,ngoja nimpe ushauri dogo huyu wa O-level
 
Back
Top Bottom