Naombeni ushauri kuhusu hiki nachosomea

Naombeni ushauri kuhusu hiki nachosomea

Dogo Nina experience na hii kazi miaka 13,tafuta shughuli nyingine ya kufanya,washikaji ninesoma nao wapo mbali
 
Wekeza katika knowledge kwanza huku mtaani Kama mtu wa darasa la Saba Anaishi Sasa itakuaje wewe msomi usifate mkumbo Ajira utapata Cha muhimu kaa mbali na wanawake ili usipate gundu
 
Njoo tuuze bangi kitaa😂nimesoma medical laboratory ila naona ushuzi tu niliyotegemea na niliyokuta tofauti
 
Soma kwanza kwani hiyo degree ni miaka mingapi, ukiwa na elimu na cheti chako ni shwari , hata kazi unaweza ukafanya yeyote.
 
Back
Top Bottom