MWALIMU DAIMA
Senior Member
- Mar 4, 2023
- 129
- 263
Ajira zipo piga kitabuMimi kijana umri miaka 22,
Nipo chuo mwaka wa pili, nasoma shahada ya kwanza ya ualimu sayansi biology na geography.
Naomba ushauri kwa umri huu, na Hali ya ajira ya taifa letu ni fanye mambo yapi na nizingatie nini ili niweze kufika hatima bora ya maisha yangu na familia Yangu kwa ujumla.
Karibuni waku
Umepata hio ajira?Ajira zipo piga kitabu
Afanyaje sasa....!!Wasikudanganye hamna ajira ohoo
Chuo wamewekewa miundo mbinu mizuri ya kuendekeza mapnzi...🤓🤓Usiendekeze mapenzi
Hana la kufanya zaid ya kusave boom akifikia kitaa asiwe mgeni Wa mtaa😁Afanyaje sasa....!!
Umeongea pointKwanza angalia kilichopo mbele yako yaani mda huu kuwa bussy kusoma ...Kingine kila mtu ana riziki yake fanya vizuri piga masomo safi yaani kazi ..
Pambana na kusoma mdogo angu ya uko mbele achana nayo yatakuja tu automatically..Sasa piga kitabu kazi utapata hata kama sio ualimu kikubwa utaishi tu..
zali la mentali lipo mpaka kufika hapo sio masikhara ..Pambana sana mapenzi sijui kazi ukimaliza utapata ni swala la muda tu.
Wew kiazi endelea kulala kwa wazazi wakoUmepata hio ajira?
Mbweha wewe ,we si ni mwanafunzi Bado huwez elewa..komaa ukija huwez elewaWew kiazi endelea kulala kwa wazazi wako
Nakwambia endelea kulala mpaka jua lichomozeMbweha wewe ,we si ni mwanafunzi Bado huwez elewa..komaa ukija huwez elewa
Umepitia hiyo hatua aliyo yeye mkuu?Hana la kufanya zaid ya kusave boom akifikia kitaa asiwe mgeni Wa mtaa😁