Naombeni ushauri kuhusu hiki nachosomea

Kaza mkuu.
Hakikisha wewe darasani kwako unakuwa ndio kipanga. Usikubali kuwa nyumanyuma, fanya shule kwa bidii uonekane. Changamana na watu usijifungie darasani au kwa kozi yako tu maana dunia inataka mtu awe competent karibu kila mahali. Pia, ukipata fursa ya kufanya mambo mengine mbali na kitabu fanya.
Tumia wakati huu vizuri kwani ndo huwa na fursa za kutosha kuliko utakapotoka hapo ulipo.
Kila la kheri mpambanaji💪
 
Jitahidi usiwe na GPA chini ya 3.8 hii itakusaidia kupata kazi za Tutorial assistant mbali na zile za Tamisemi kwa sasa concentrate na masono utoke na GPA kubwa ili uwe na wigo mpana wa fursa ata vyuoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…