Angalia vitu ambavyo wewe huvipendi,yani MTU akifanya vinakukuzwa-hivyo ukiachagua Mke was kuoa hakikisha hafanyi au hana tabia hizo.
Mfano,kama wew hupendi uongo hakikisha Mke n unayemchagua sio muongo vinginevyo akiwa muongo ataanza kumuchukia na kutompenda kwa uongo wake.mfano mwingine labda hupendi uchafu,hivyo mke utakaye mchagua hakikisha ni msafi vinginevyo utakwazika na uchafu wake mwishowe utaishia kuishi kama Kaka na Dada au utaishia kutengana.hii inaambatana na tabia nyinginezo pia kama kupika,gubu,umbea,kutopenda ndugu n.k
Pia usisahau hata kama weww huamini kwenye mambo ya kusali,hakikisha Mwanamke unayempata anasali-yale mahubiri ya kanisani huwa ni muhimu kwa Wanawake maana yana vitisho vitisho Fulani kwao.