Naombeni ushauri kuhusu mahusiano haya ya mama yangu na huyu mwanaume

Huyo jamaa ningekua mimi mbona angeicheki show babake

Inamaana huna kundi hata la masela kitaani mumfate?
Hapa kitaa walitumia njia hiyo... Walimpoposhea mawe sio ya taifa hili
 
Miaka 52 mnasema ana umri mkubwa!!?
Na nyie 24+ mna umri mdogo wa kuishi na mama hahaha
Bora ulivyokuja kwa ID nyingine maana unachekesha sana.

Miaka 52 aache kufurahia maisha ajibane kwa ajili yenu msiojua kutafuta vyenu,

Pathetic.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
Huyo jamaa ningekua mimi mbona angeicheki show babake

Inamaana huna kundi hata la masela kitaani mumfate?
Kama upo dar Kuna Black mamba wale hawajazeeka sana... Kuna panya road hawajatawanyika insuch ukiwapiga viroba wanafanya event matata
 
We bidada Kama umelelewa ufaransa sijui... Matatizo ya huyu mama kwa Africa hayata msumbua yeye hata kidogo ila watoto wake....
 
Today is sunday!
 
Aisee kaka hesabuni maumivu maana jamaa hapo yupo anapigia hesabu hela ya mama ako ya kustaafu na hapo asha mrubuni astaafu akiwa na miaka 55 ili jamaa aanze kutanua tu, we subiri akistaafu, jamaa akatumia hela ikaisha hautamuona tena akija nyumban kwenu na mtaishi kwa amani zote.
 


Kila mwanamke anahitaji na anahaki ya kuwa na mwanaume kwa mtazamo wangu, kuwa na mwanaume sioni kama ni tatizo, tatizo inategemea jinsi anavyobehave kwenu.
Ushauri wangu, watumieni wajomba au watu wake wa karibu wamshauri ajirekebishe kama anamissbehave, pole sana mkuu nafahamu unavyoumia na hukuchagua uzaliwe na mama huyo. Jitahidi ujitegeme ukae naye mbali kuepuka fedheha!

Iliwahi kumtokea kaka yangu, kwa Mama mwingine, mama yake aliolewa na kijana ambaye umri wake ulikuwa mdogo kuliko na watoto wake, kaka alikuwa anafedheheka sana.
 
nigee namba ya huyo mama nitatue tatizo mara moja pasipo kupoteza wakati.
 
Cha kusikitisha zaidi huyu bwana anasogeza muda akombe pension yote ya mama yenu halafu asepe awaachie matatizo ni hilo tu. Kibaya zaidi anaweza kumshawishi mama astaafu akiwa na miaka 55 ili awahi, maana miaka 60 mbali na malengo yake yatachelewa. Poleni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matatizo yapi aliyokua nayo huyo mama?

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Anatembea na Janamume la mtu akikatwa mapanga watoto wanamzika na wanakosa mama wakati yeye hata maumivu hana na macho amefumba chini ya udongo.
Anatembea na Janamume la mtu.. likimletea miwaya Ni watoto watamuuguza wakati yeye ametulia tuli kitandani Jaha neogo na kubwa zote halali yake... Hana shida anasubiri tuu kulishwa tena kwa kijiko mdomoni
 
life begins with murder, thats nature,,mwacheni maza ale maisha kwanza nyie mlitakiwa kuwa na kwenu
undefined
 
Kila mtoto na baba yake! inaonekana huyo Mama yenu hayo mambo kayaanza kitambo sana,na si ajabu alikua anaachika kwa kukutwa na michepuko,hayo ndio maisha yake na sasa hivi ni kama gari lililokata breki anaserereka tu!

Tafuteni maisha yenu mjitegemee muhame hapo,huyo Mama yenu atakuja kuwatafuta yeye mwenyewe tu siku gari lake likikamata breki na kutambua kua kumbe alipitiliza kituo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…