Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Suala la miwaya angeweza kuletewa hata na hao baba za watoto wake, so halina mashiko,Anatembea na Janamume la mtu akikatwa mapanga watoto wanamzika na wanakosa mama wakati yeye hata maumivu hana na macho amefumba chini ya udongo.
Anatembea na Janamume la mtu.. likimletea miwaya Ni watoto watamuuguza wakati yeye ametulia tuli kitandani Jaha neogo na kubwa zote halali yake... Hana shida anasubiri tuu kulishwa tena kwa kijiko mdomoni
Ngoja nikuache na ubishi wako sijui nikushambulie PMSuala la miwaya angeweza kuletewa hata na hao baba za watoto wake, so halina mashiko,
Suala la mume wa mtu, hiyo apambane mwenyewe ni maisha ameyachagua mazee.
Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Ni kweli, hilo jambo linamatokeo hasi kwa huyo mama na watoto kwa ujumla lakini tatizo huyo mama hajitambui.Naona waongee na uncle kwa kuwa kujiachia Ni Jambo huru ambalo hawapaswi kumuingilia lakini kwa Hali hii lazima waingilie maana mwanaume Ni mume wa mtu then anaweza akawaletea magonjwa mzigo ukabaki kwa watoto
Mama yenu hawezi kuishi bila mwanaume...
24+ muhame mkaishi kwenu, yupo hivyo miaka yote inaonekana tokea avunje sinia....mumuache mama afurahie mgegedo, vipi nyie??
Mnataka kugombea URITHI, baba wanne tofauti ni ishara mjitegemee...mtafute vyenu...hapo hamna chenu!
Everyday is Saturday.......................... 😎
Achananeni na mama yenu, kila mtu akatafute maisha yake, nyinyi sasa ni wakubwa. Kila mtu atambae zake.
Hiyo aibu ya mama yenu kutombwa ovyo ovyo na wanaume ipelekeni kwa wajomba tu.
Kama njia hiyo mnaona ni ngumu basi mjaribu njia nyingine mbaya zaidi. Anzeni kupambana na huyo mwanaume. Mtafuteni mkewe, halafu mwambie aje kupachimbicha kwa mama yenu (kumbukeni dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake). Upande wa pili mtafute vijana wahuni watakaibuka na kumpa kichapo cha mbwa mwizi huyo mwanaume siku akitinga hapo home kwenu kwa mama yenu.
Ukute mjomba nae anapenda hizo mamboDogo pole sana. Hebu mtafute mjombaako umshirikishe. Hata kama mjomba yuko upareni au ukerewe au Machame mfuate huko huko. Mjomba anaweza kum discipline bi mkubwa
Miaka 52 mama yako bado kabisa yuko fiti msimpangie maisha yake. Kama mnaona mmekua hameni. Huyo mmoja ambaye baba yake yupo kwa nini asiende kwa babaye? Mnahitaji huduma toka kwa mama yenu ambazo zinatokana na pesa lakini mnaleta ujuaji. Huyo kaka yenu mkubwa anayekuja hapo kwa nini nyinyi wengine wawili msiende kukaa kwake?Pia, kila tukimsuhi Mama kuacha hiyo tabia majibu anayotupa ni kuwa huu mji ni wake na hamna aliyemsaidia kujenga hivyo anafanya chochote atakacho.
Ndugu zangu wana JF, naombeni msaada wa mawazo namna ya kutatua tatizo hili.
Mpaka Sasa Mama hajavunja Sheria yoyote ya nchiShida ya Mama yenu ilianzia zamani Mkuu ,Kitendo cha kuzaa na wanaume tofauti wanne, kinamwelezea ni wa mama wanaina gan.
Nandio maana Hana hata mshipa wa aibu kiasi kwamba hata ktk huo uzee ambao amekoma hedhi bado anaendeleza tabia isofaa.
Kiukweli anawatia aibu sana sana, yaan anawatia aibu mnooo
WAZAZI NI LAZIMA WAWAHESHIMU WATOTO WAO, ILI WATOTO WAWAHESHIMU WAZAZI WAO( Ndivo Biblia inasema)
Mtoto hawezi kuwaheshimu wazazi ikiwa wazazi hawajiheshimu na hawawaheshimu wanao, ...ndio ni kwake, basi aende kuyafanya huko mbali nasio machoni kwenu
Je kwann huyo Baba mdogo wenu tena mume wa MTU hampeleki kwake.
Kwanza huyo Jamaa, usimuite Baba mdogo, iyo heshima Haimfai hata punje.. Mume wa watu hawezi kua baba mdogo kwa uchepukaji ,huyo ni muhuni kama walivyo wahuni wengine.
Nyinyi muheshimu Mama yenu kwakua kawazaa,, piga moyo konde , utoke hapo mumuache na Maisha yake aloyachagua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaalam wa saikolojia Mbele ya mkunyenge wa Ankali?
Kuna msemo mmoja huwa naupenda unasema "mama ga life tooo" mwache ale maishaHabari zenu,
Nimekuja na ID mpya ili kuficha utambulisho wangu wa awali ni kuomba msaada wa ushauri.
Naombeni ushauri na njia za kutatua tatizo hili.Ipo hivi kwenye tumbo la Mama yetu tulikuwa watoto 7 hadi Leo hii tupo 4. Katika watoto 7 tumezaliwa na Baba tofautitofauti 4. Katika hao baba zetu kuna moja wao ndio tumekuliwa kwake toka tukiwa wadogo badaye miaka 6 iliyopita Mama alitengana Nate.
Mama ni mtumishi wa umma, hivyo alinunua kiwanja na kujenga nyumba ambapo watoto wote 4 tuliongozana nae na kwenda kuishi nae, maana haikuwezekana kukaa tena kwa huyo baba mlezi sababu katika wathili.4 tuliobaki kati yetu 1 tu ndio mwanae kwahiyo ikabidi wote sisi sote tuongozane na mama. Ikumbuke kuwa katika sisi watoto 4, mtoto 1 hamjui baba yake wengine 2 Baba yao alifariki na mtoto 1 baba take ndio huyo aliyetulea.
Sisi sote miaka yetu ni 24+ na Mama yetu ni 52, jambo linalotusumbua ni kuwa Mama yetu ana mwanaume mwingine ambaye ni mume wa mtu. Jamaa huyu huwa anakuja na kulala hapa nyumbani karibu kila siku; huwa anasitisha kuja pale ambapo kaka yetu mkubwa akija nyumbani.
Ndugu na marafiki wamejaribu kumshauri mama kuwa tayari umri umekwenda na ana vijana wakubwa anatakiwa kuacha mambo hayo pasipo mafanikio, haelezeki wala haambiwi chochote. Kwa sasa tumefunga chuo sababu ya hii CORONA nipo hapa home naona aibu kijiji kizima kinatuzungumza.
Kaka yangu mkubwa alijaribu kuongea na huyo bwana mwaka jana; kwa kweli jamaa alisitisha kama miezi 2 hivi pasipo kuonekana, badaye ratiba ikaanza kama kawaida nimemjulisha kaka atafute siku 3 nyumbani tusaidiane kutatua tatizo hili. Pia, kila tukimsuhi Mama kuacha hiyo tabia majibu anayotupa ni kuwa huu mji ni wake na hamna aliyemsaidia kujenga hivyo anafanya chochote atakacho.
Ndugu zangu wana JF, naombeni msaada wa mawazo namna ya kutatua tatizo hili.
"jambo linalotusumbua ni kuwa Mama yetu ana mwanaume mwingine ambaye ni mume wa mtu"
Hili Ndio tatizo haswa,maana sidhani kama mnatatizo laiti kama mama yenu angelikuwa ameolewa au anaishi na mwanaume mwingine ambaye si mume wa mtu,kwa umri wake kuwa mchepuko ni fedheha na ndio maana hata jamii inamshangaa na kumsema.
Lakini kwa kuwa mlishajaribu kuzungumza naye na hakukubaliana nanyi basi hamna budi kutafuta miji yenu na kiwa mbalinae maana ninyi ni vijana wakubwa.
Maana mnaoona aibu ni nyinyi yeye anajionea sawa tu,na ndio maana anfanya hata mbele yenu.