Naombeni ushauri kuhusu mahusiano haya ya mama yangu na huyu mwanaume

Mama ana tatizo kubwa aliloshindwa kulitatua mapema sasa linamuandama hadi uzeeni.
Poleni sana.
Hata mkifanikiwa kumtenganisha na huyo Uncle wa sasa wakaachana basi tambueni fika atakuja Uncle mwingine kufill the void.
Mama yenu at 52yrs bado sana yupo sexually active.
Kitendo tu cha nyinyi watoto saba kuzaliwa na Baba wanne na huyo Baba mwingine hajulikani inawezekana kabisa,hata hao Baba wanne wanao fahamika kwenu wapo zaidi ambao hamuwa fahamu.
Hiyo ni ishara tosha kuwa Bi Mkubwa hawezi tulia pekee yake.
Endeeleni kumuombea kwa Mungu spate maono mema abadilike mwenyewe. Kinyume cha hapo ni kutafuta maana tu.
 
Kwanza mkuu kaa ukijua mama yenu anawapenda sana...kitendo cha kukubali kuwalea,kuwasomesha na kuwapa huduma zote adi mmefikia umri huo bila kusumbuana na mzaze mwenza ni jambo lenye kuonyesha upendo wa hali ya juu.

Pili,nasikitka sana pale ninapo ona mwanamke yyte kuzalishwa na wanaume tofaut tofaut Mana najua huwa hao wanawake ni vigumu kudumu ktk ndoa hususani Kama hao wanaume anapita nao bila sheria ya dini kuwaunganisha (ndoa),inauma sna kwakweli Kama mtoto kuona umezalia nje ya ndoa...ndo Mana Kwenye utaratbu wa dini ya kiislamu mtoto wa sampuli hyo kuna baadh ya haki ananyimwa na kuitwa mtoto wa zinaa.

Tatu,bi mkubwa anafanya ayo yote kuna kitu kinampa jeuri either Mali yake au uzuri wake...msaada pekee kwake ni kumjenga kiimani...wala msimchukie,mpendeni muwe karbu nae mumpe maneno ya kiimani kulingana na dini yake...Kama anampenda huyo mwanaume mumshauri wafunge ndoa nae aitwe mke halali,kukata mzizi wa fitna Kwan mwanaume kuwa na wake 2 si tatzo

Mwisho kabsa mjitaidi mtoke apo nyumban mkatafute maisha Kisha muoe wake ambao watakuwa mfano wa kuigwa na mama yenu...Mana usikute mna mind mama yenu kumbe na nyinyi mnawaingza mabint za watu kweny nyumba ya mama yenu...
 
Joshua nilidhan jina la kiume ila comment ya kike hapa unaona wivu kwa mama mtu au ben ten? Nimetoa ushauri kwa mleta mada sijaona haja ya wewe kuniingiza pasipohusika.
Hali hiyo ingewafanya mchakarike muwe na maisha yenu ya kujitegemea Sasa nyie mmebweteka kumchunguza mama na ki-serengeti chake.
 
Ushauri murua sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nikuache na ubishi wako sijui nikushambulie PM
Au Basi tuchart
Hahahaha itakua wewe ni mmoja wa watoto wa huyo mama, poleni kwa mnayopitia.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
Mama mwenye kujiheshimu atakwenda huko kwa wanaume zake. Hawezi kuleta mume wa mtu nyumbani kwake akiwa na vijana wakubwa hivyo. Ingekuwa inawezekana kuchagua mama, bila shaka hakuna ambaye angependa kuchagua mama wa aina hiyo. Niko na mke wangu wa ndoa na wanangu nyumbani. Wakati wa tendo, nahakikisha kuwa watoto hawasikii kabisa. Timing na place zina-guarantee kutokusikia kwao.
 
Kipindi cha utuuzima sio kipindi cha mtu kua peke yake, ndio kipindi hasaa cha mtu kua na mwenza wake, kuna maradhi ya hapa na pale, kaumwa kiuno atawaita nyie watoto mumchue? Usiku kapaliwa mtakimbilia room kwake kutoa msaada? Lakini akiwa na mwenzie basi maisha yanaenda burudaaan kabisa,

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
HAPPY MOTHER'S DAY! Huyo Mama anapaswa kupongezwa kwa ujasiri aliouonyesha
 
Yeyote unayetetea anachokifanya huyu mama, hebu jiulize kama wewe mwanaume ungekuwa na watoto wa kike/kiume wa miaka 24+ unakaa nao bila mama yao, je, ungeleta mwanamke (mke wa mtu) na kulala naye kwenye hiyo nyumba na wanao wakiwemo? Kama jibu lako ni NDIYO, basi umempa kura ya ndiyo shetani.
 
Duuh huo UKAUZU sasa
 
Dah ndio haya mambo ya kifala tunayafumbia macho.
Kijana mie nakushauri mfanye hivi.... Huyo mama yenu ikiwezekana mkamageni mchapeni viboko na ata mkimuua poa tuu.
Mkifunguliwa kesi mie nipo tayari kuwawakilisha mahakamani. Such vices should not be condoned
 
Wajibu wa kawaida wa mzazi huo. Hata mnyama wa porini ananyonyesha, kama ni simba anafundisha watoto wake jinsi ya kuwinda halafu ndio wanajitegemea. Wazazi msichukulie kuwa mnawapa favor (upendeleo) fulani watoto wenu. Ni wajibu wa mzazi kuzaa na kulea. Watoto wote hao amezaa, tena na wanaume mbalimbali, wewe ulitaka nani awalee? Huo ni wajibu wake wa msingi. After all, mtoto haombi kuzaliwa.
Kwanza mkuu kaa ukijua mama yenu anawapenda sana...kitendo cha kukubali kuwalea,kuwasomesha na kuwapa huduma zote adi mmefikia umri huo bila kusumbuana na mzaze mwenza ni jambo lenye kuonyesha upendo wa hali ya juu.
 
Nataman ningekua mm ndo nampoza huyo Mama ningempa vitu adimu ili awafukuze happy. Hivi hushangai Chibu na mapesa yote Yale kausanda kwa Ankali Shante nyie bado kula kulala Tena kwenye nyumba aliyojenga Mama yenu mnamletea kibesi fukuza wote Hapo *****!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…