Naombeni ushauri kuhusu mahusiano haya ya mama yangu na huyu mwanaume

Wakati mwingine ni vizuri kukubali alichosema mwenzio kuliko kukirudia kwa maneno mwngine.
Ni wajibu kwa wazaz wote wawili kulea watoto wao adi pale watakapofikia hatua ya kujitegemea labda itokee mzazi mmoja kufariki apo ndo tunasema wajibu utabakia kwa mzazi alie baki hai...

Pia ni wajibu watoto kuwahudumia wazazi wao pale wanapofikia hatua ya uzee.

So mtoto unapopata hudumu na mapenz mazur kutoka kwa wazaz au mzaz wako ni jambo la kushukuru sana kwani sio wote wanaopata hayo mapenzi,japo ni wajibu kwa mzazi kufanya hvyo.
 
Aisee noma sana sema mama yenu Umalaya upo ndani ya Damu yani nyie hamuwezi kumbadilisha kama Hata wazazi wake ukute walishindwa ndo maana akawa anazaa ovyoo.. Cha muhimu muondoke hapoo mkatafute maisha yenu hiyo aibu ni ngumu kuizoea tena mshukuru ni Mbaba wengine wanagongwa na Vitoto kama nyie au wadogo zaidi.

Kuna mwana nilishuhudia alijinyonga kisa mama ake alikuwa analiwa na washkaji wa umri wake wakawa wanamtania mwana kuwa awaite baba mdogo kisa wanamla mama yake mwana aliongea sana akachoka Akaamua Kujinyonga. Ilisikitisha sana watu japo yule mama nae alikuja Kujinyonga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe ni mama pia? Bahati mbaya sana watoto hawana uwezo wa kuchagua wazazi wao!
Hahaha uroda ale mwingine hasira upate wewe,

The world is a crazy place, walai.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
Huyo dogo anaweza kumkaza Mama yake? Kama hawezi amuachie Anko aendelee kumkaza vizuri.
**News ingekua Kama Mama anakazwa na mwanae vinginevyo all the best kwa Mama mzaa chema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
Wote mna miaka 24+ ambao mnaweza kabisa kujitegemea. Wengine mko chuo naamini ni boarding hivyo muda wa kukaa home ni mchache...ONDOKENI HAPO NYUMBANI MKAISHI KWINGINE. AIDHA KWA NDUGU WENYE NAFASI AU KWA WASHIKAJI. Ukishindwa sana tembelea uzi ule wa ulianzaje kuishi geto utapata pa kuanzia...Ila msiwaze urithi na msikae hapo.Pambaneni kuishinda hiyo aibu
 
Aisee noma sana sema mama yenu Umalaya upo ndani ya Damu yani nyie hamuwezi kumbadilisha kama Hata wazazi wake ukute walishindwa ndo maana akawa anazaa ovyoo.. Cha muhimu muondoke hapoo mkatafute maisha yenu hiyo aibu ni ngumu kuizoea tena mshukuru ni Mbaba wengine wanagongwa na Vitoto kama nyie au wadogo zaidi.

Kuna mwana nilishuhudia alijinyonga kisa mama ake alikuwa analiwa na washkaji wa umri wake wakawa wanamtania mwana kuwa awaite baba mdogo kisa wanamla mama yake mwana aliongea sana akachoka Akaamua Kujinyonga. Ilisikitisha sana watu japo yule mama nae alikuja Kujinyonga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh hatari fire
 
Between the lines...kinacho kusumbua na nduguzo ni ninyi kugeuzwa agenda ya mtaa au jamii

Ktk familia yetu pia tuliwah kupitia jambo hili naelewa sana, ni maika 11 sasa imepita...nasi tumezaliwa 7 kwa Baba 3 na Mama pia ni mtumishi

Ktk kabila letu kunamsema nitatafsiri... "Anaye lala na Mama yako ndo Baba yako"

Chozi limenitoka wakati naandika haya[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa kweli we umeelewa nilicho manisha,watu wanadhani tunafalia urithi la hasha.Katika watoto 4 tuliobaki ni Mimi peke yangu ndio bado nasoma ndungu zangu wengine tayari wana maisha yao na Mara nyingi nimekuwa nikiishi kwa kaka yangu.

Watoto wote kwa kuwa tumezaliwa na baba tofauti hapa alipojenga Mama ndio tunachukulia kama chimbuko letu,kwa muda nimekuwa nikikaa na ndugu zangu Katika likizo hii ndio nikaamua kwenda kuishi kijijini na kumsaidia mama baadhi ya kazi.

Kibaya zaidi Baba yetu mlezi aliyetoka kutengana nae ambaye wameishi pamoja kwa miaka 15+ yupo hapa hapa kijini.Dada zangu likizo ya mwezi desemba walikuja kumsalimu Mama na Baba mlezi walipanga kukaa wiki 2 but waliishia kukaa siku 2 tu kutokana na hali hii.
Baba yetu mlezi ni kama wanawindana na jamaa,anaamini ya kuwa jamaa ndio chanzo cha Mama kutengana nae.
 
Pole kijana ila kwasabb wewe ki psychologia unajiona bado mdogo ila mambo hayo yanahitaji maamuzi binafsi makubwa (to be decissive )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo yao waachie wenyewe.

Mama wawili
 
Wakati huu wa korona kwa vile muko nyumbani wote, muiteni kaka yenu akija mfanyieni timing huyo mwanaume akija nyumbani mkamateni mumpe kipigo heavy kitakachomfanya alale ndani kwa siku kadhaa ila mzingatie msimvunje kiungo chochote na wakati huo mpeni onyo kali kua akirudia mtammaliza kabisa.
N.B: kabla ya kufanya hayo mhakikishe mna pesa ya kushughulikia dhamana yenu police.
Usisahau kuleta mrejesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angekuwa baba yenu mzazi mngemkataza kulala na mama yenu? Huyo ni mme wake haijalishi kama ana mke mwingine. The fact that analala hapo kila siku ni baba yenu. Isikute hata hela mnazolipiwa ada anatoa yeye. Ishini na mmueshimu kama baba yenu
 
Pole sana kwa hayo unayopitia. Yatakwisha. Kila mwanadamu anahitaji kuheshimiwa. Hapo kusema kweli hakuna heshima.

Back
Top Bottom