Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Wakati mwingine ni vizuri kukubali alichosema mwenzio kuliko kukirudia kwa maneno mwngine.
Ni wajibu kwa wazaz wote wawili kulea watoto wao adi pale watakapofikia hatua ya kujitegemea labda itokee mzazi mmoja kufariki apo ndo tunasema wajibu utabakia kwa mzazi alie baki hai...
Pia ni wajibu watoto kuwahudumia wazazi wao pale wanapofikia hatua ya uzee.
So mtoto unapopata hudumu na mapenz mazur kutoka kwa wazaz au mzaz wako ni jambo la kushukuru sana kwani sio wote wanaopata hayo mapenzi,japo ni wajibu kwa mzazi kufanya hvyo.