Naombeni ushauri kuhusu mahusiano haya ya mama yangu na huyu mwanaume

Hii ndiyo suruhu ya jambo hili, la sivyo wantaingia kwenye mgogoro wa kifamilia na maa yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama bado anahitaji kupata ladha ,
Mwili unakua moyo ungali bado kijana tu.

Upande wangu sioni kosa la mama, na haiwezekani kutopata burudani kama ambavyo nyie mnapata.

Na nyie isiwanyime raha maana mna mama mwenye nguvu na afya ndo maana mwili bado wahitaji.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani unaweza kuongea pumba kias hiki??


stidy
 
Mshaurini akawapangishie vyumba sehemu ili msione yanayoendelea au kama mnaona basi isiwe ni kila siku.
Maana isijekuwa nyumba yenyewe haina ceiling board halafu nyamaa nae ana jiandaa kwa game la kuheshimika na matokeo mnaambulia kelele zao tu.INAUMA.
Hameni tu hata kama ni kwenda kwa ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe ni mama pia? Bahati mbaya sana watoto hawana uwezo wa kuchagua wazazi wao!
 
Naam mkuu. Huyu dogo hakutaka kuweka kila kitu wazi lakini inaonekna hali ndivyo ilivyo. Kusikia mama yako mzazi akiguna katika tendo hata iwe kwa sababu ya baba yako mzazi siyo kitu kizuri.
 
Kina mama wa Singida wote ndivyo walivyo hata wewe ukikuwa utakuwa hivyo hivyo. Jasili haachi asili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Nikisoma hizo comments kweli ni vema mtu kutulia.

Sasa hawa watoto wangu walivyo mibaunsa nikileta mwanaume humu ndani si watampiga mangumi.

Duuuu, aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Swala la maelezi ni swala linalowajibika kwa wazazi wote wawili na sio mmoja na endapo itatokea mmoja kusukumiziwa huo mzigo matokeo yake ndo tunaona wale watoto wa mtaani,mayatima,vichanga kutupwa.

Kwani hao wanaotelekeza watoto au kuwatupa hawajibu kwamba ni wajibu wao kulea na kuwatunza hao watoto?
 
Jibu - Wajibu ni kwa kila mzazi kulea watoto wake, akiwemo huyu mama anayeongelewa hapa. Watoto hawaombi kuzaliwa ma kutokuzaliwa.
 
Naam mkuu. Huyu dogo hakutaka kuweka kila kitu wazi lakini inaonekna hali ndivyo ilivyo. Kusikia mama yako mzazi akiguna katika tendo hata iwe kwa sababu ya baba yako mzazi siyo kitu kizuri.
Huyo dogo anaweza kumkaza Mama yake? Kama hawezi amuachie Anko aendelee kumkaza vizuri.
**News ingekua Kama Mama anakazwa na mwanae vinginevyo all the best kwa Mama mzaa chema
 
Pole sana.

Kile kitendo tu cha nyie kuzaliwa kila MTU na Baba yake ni tatizo tayari ambalo mnatakiwa mjuwe mama yenu anashida mahali.

Cha msingi na cha sekondari, mwacheni afanye anachotaka kufanya, ilimradi ni maisha yake.

Msiige tabia zake hata siku moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu - Wajibu ni kwa kila mzazi kulea watoto wake, akiwemo huyu mama anayeongelewa hapa. Watoto hawaombi kuzaliwa ma kutokuzaliwa.

Ni wajibu kwa wazaz wote wawili kulea watoto wao adi pale watakapofikia hatua ya kujitegemea labda itokee mzazi mmoja kufariki apo ndo tunasema wajibu utabakia kwa mzazi alie baki hai...

Pia ni wajibu watoto kuwahudumia wazazi wao pale wanapofikia hatua ya uzee.

So mtoto unapopata hudumu na mapenz mazur kutoka kwa wazaz au mzaz wako ni jambo la kushukuru sana kwani sio wote wanaopata hayo mapenzi,japo ni wajibu kwa mzazi kufanya hvyo.
 
Siku mwenye mke akaja mchambia hapo hapo [emoji8] daa, huyo kijana bado mwanachuo bado hao wadogo zake, kama kuna mabinti duu anawaambukiza tabia mbaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mano likwe likwe, ila kama ana mabinti wakiwa malaya ni wao tu, kuwa na mama malaya sio lazima na wao wawe hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…