Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Siku mwenye mke akaja mchambia hapo hapo [emoji8] daa, huyo kijana bado mwanachuo bado hao wadogo zake, kama kuna mabinti duu anawaambukiza tabia mbaya sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku mwenye mke akaja mchambia hapo hapo [emoji8] daa, huyo kijana bado mwanachuo bado hao wadogo zake, kama kuna mabinti duu anawaambukiza tabia mbaya sana
Ha haa bado sijatoka nimemweka kwenye grace period.Mama acha kumnanga mwenzako, wewe mbona ulitoka na kijana mdogo wa JF?
Hii ndiyo suruhu ya jambo hili, la sivyo wantaingia kwenye mgogoro wa kifamilia na maa yao.Hawa namshangaa sana mtu anayemsimanga mtoto kwa sababu ya mzazi, ni hivi. Hakuna kitu mnaweza fanya kumbadilisha mama yenu. Ni kumkubali tu jinsi alivyo maana kwa vyovyote iwavyo huyo ndio mzazi wenu. Cha muhimu jipangeni muwe na maisha yenu mkae mbali nae maana ni mtumishi wa umma, she can take care of herself.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka yao mkubwa anaweza chukua jukumu la kuwalea madogo kama anaweza la sivyo wasione sooo wakubalianena hali halisi maana ndo aisha ya mama yao
Yani unaweza kuongea pumba kias hiki??Kipindi cha utuuzima sio kipindi cha mtu kua peke yake, ndio kipindi hasaa cha mtu kua na mwenza wake, kuna maradhi ya hapa na pale, kaumwa kiuno atawaita nyie watoto mumchue? Usiku kapaliwa mtakimbilia room kwake kutoa msaada? Lakini akiwa na mwenzie basi maisha yanaenda burudaaan kabisa,
Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Lakini wana miaka 24 hata kama unasoma huyu ni mtu mzima huwezi kuingilia maisha ya mzazi wako eti tunasemwa kijijini kwahiyo kuwazaa tu nyie ndo mmpagie maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka 52 mnasema ana umri mkubwa!!?
Na nyie 24+ mna umri mdogo wa kuishi na mama hahaha
Bora ulivyokuja kwa ID nyingine maana unachekesha sana.
Miaka 52 aache kufurahia maisha ajibane kwa ajili yenu msiojua kutafuta vyenu,
Pathetic.
Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Mshaurini akawapangishie vyumba sehemu ili msione yanayoendelea au kama mnaona basi isiwe ni kila siku.
Maana isijekuwa nyumba yenyewe haina ceiling board halafu nyamaa nae ana jiandaa kwa game la kuheshimika na matokeo mnaambulia kelele zao tu.INAUMA.
Hameni tu hata kama ni kwenda kwa ndugu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kina mama wa Singida wote ndivyo walivyo hata wewe ukikuwa utakuwa hivyo hivyo. Jasili haachi asili.Habari zenu,
Nimekuja na ID mpya ili kuficha utambulisho wangu wa awali ni kuomba msaada wa ushauri.
Naombeni ushauri na njia za kutatua tatizo hili.Ipo hivi kwenye tumbo la Mama yetu tulikuwa watoto 7 hadi Leo hii tupo 4. Katika watoto 7 tumezaliwa na Baba tofautitofauti 4. Katika hao baba zetu kuna moja wao ndio tumekuliwa kwake toka tukiwa wadogo badaye miaka 6 iliyopita Mama alitengana Nate.
Mama ni mtumishi wa umma, hivyo alinunua kiwanja na kujenga nyumba ambapo watoto wote 4 tuliongozana nae na kwenda kuishi nae, maana haikuwezekana kukaa tena kwa huyo baba mlezi sababu katika wathili.4 tuliobaki kati yetu 1 tu ndio mwanae kwahiyo ikabidi wote sisi sote tuongozane na mama. Ikumbuke kuwa katika sisi watoto 4, mtoto 1 hamjui baba yake wengine 2 Baba yao alifariki na mtoto 1 baba take ndio huyo aliyetulea.
Sisi sote miaka yetu ni 24+ na Mama yetu ni 52, jambo linalotusumbua ni kuwa Mama yetu ana mwanaume mwingine ambaye ni mume wa mtu. Jamaa huyu huwa anakuja na kulala hapa nyumbani karibu kila siku; huwa anasitisha kuja pale ambapo kaka yetu mkubwa akija nyumbani.
Ndugu na marafiki wamejaribu kumshauri mama kuwa tayari umri umekwenda na ana vijana wakubwa anatakiwa kuacha mambo hayo pasipo mafanikio, haelezeki wala haambiwi chochote. Kwa sasa tumefunga chuo sababu ya hii CORONA nipo hapa home naona aibu kijiji kizima kinatuzungumza.
Kaka yangu mkubwa alijaribu kuongea na huyo bwana mwaka jana; kwa kweli jamaa alisitisha kama miezi 2 hivi pasipo kuonekana, badaye ratiba ikaanza kama kawaida nimemjulisha kaka atafute siku 3 nyumbani tusaidiane kutatua tatizo hili. Pia, kila tukimsuhi Mama kuacha hiyo tabia majibu anayotupa ni kuwa huu mji ni wake na hamna aliyemsaidia kujenga hivyo anafanya chochote atakacho.
Ndugu zangu wana JF, naombeni msaada wa mawazo namna ya kutatua tatizo hili.
Habari zenu,

[/QUOTE
Junguzeni nani zuzu kati yao kama ni huyo mwanaume ishu mukide ila kama mama ndo zuzu nenda nae kwenye maombi
Wajibu wa kawaida wa mzazi huo. Hata mnyama wa porini ananyonyesha, kama ni simba anafundisha watoto wake jinsi ya kuwinda halafu ndio wanajitegemea. Wazazi msichukulie kuwa mnawapa favor (upendeleo) fulani watoto wenu. Ni wajibu wa mzazi kuzaa na kulea. Watoto wote hao amezaa, tena na wanaume mbalimbali, wewe ulitaka nani awalee? Huo ni wajibu wake wa msingi. After all, mtoto haombi kuzaliwa.
uzee uko wapi ww mtu hana kustaafu bado unamwita mzee ili umnyime dyudyu la yuyu au ni nn ? alafu wa mama wa hivi ni watamu balaa. sijasema vibaya kwa mama ake mleta uzi.Na uzee uo bado tu ana taka mambo
sijui itakuaje
Swala la maelezi ni swala linalowajibika kwa wazazi wote wawili na sio mmoja na endapo itatokea mmoja kusukumiziwa huo mzigo matokeo yake ndo tunaona wale watoto wa mtaani,mayatima,vichanga kutupwa.
Kwani hao wanaotelekeza watoto au kuwatupa hawajibu kwamba ni wajibu wao kulea na kuwatunza hao watoto?
Huyo dogo anaweza kumkaza Mama yake? Kama hawezi amuachie Anko aendelee kumkaza vizuri.Naam mkuu. Huyu dogo hakutaka kuweka kila kitu wazi lakini inaonekna hali ndivyo ilivyo. Kusikia mama yako mzazi akiguna katika tendo hata iwe kwa sababu ya baba yako mzazi siyo kitu kizuri.
Pole sana.Habari zenu,
Nimekuja na ID mpya ili kuficha utambulisho wangu wa awali ni kuomba msaada wa ushauri.
Naombeni ushauri na njia za kutatua tatizo hili.Ipo hivi kwenye tumbo la Mama yetu tulikuwa watoto 7 hadi Leo hii tupo 4. Katika watoto 7 tumezaliwa na Baba tofautitofauti 4. Katika hao baba zetu kuna moja wao ndio tumekuliwa kwake toka tukiwa wadogo badaye miaka 6 iliyopita Mama alitengana Nate.
Mama ni mtumishi wa umma, hivyo alinunua kiwanja na kujenga nyumba ambapo watoto wote 4 tuliongozana nae na kwenda kuishi nae, maana haikuwezekana kukaa tena kwa huyo baba mlezi sababu katika wathili.4 tuliobaki kati yetu 1 tu ndio mwanae kwahiyo ikabidi wote sisi sote tuongozane na mama. Ikumbuke kuwa katika sisi watoto 4, mtoto 1 hamjui baba yake wengine 2 Baba yao alifariki na mtoto 1 baba take ndio huyo aliyetulea.
Sisi sote miaka yetu ni 24+ na Mama yetu ni 52, jambo linalotusumbua ni kuwa Mama yetu ana mwanaume mwingine ambaye ni mume wa mtu. Jamaa huyu huwa anakuja na kulala hapa nyumbani karibu kila siku; huwa anasitisha kuja pale ambapo kaka yetu mkubwa akija nyumbani.
Ndugu na marafiki wamejaribu kumshauri mama kuwa tayari umri umekwenda na ana vijana wakubwa anatakiwa kuacha mambo hayo pasipo mafanikio, haelezeki wala haambiwi chochote. Kwa sasa tumefunga chuo sababu ya hii CORONA nipo hapa home naona aibu kijiji kizima kinatuzungumza.
Kaka yangu mkubwa alijaribu kuongea na huyo bwana mwaka jana; kwa kweli jamaa alisitisha kama miezi 2 hivi pasipo kuonekana, badaye ratiba ikaanza kama kawaida nimemjulisha kaka atafute siku 3 nyumbani tusaidiane kutatua tatizo hili. Pia, kila tukimsuhi Mama kuacha hiyo tabia majibu anayotupa ni kuwa huu mji ni wake na hamna aliyemsaidia kujenga hivyo anafanya chochote atakacho.
Ndugu zangu wana JF, naombeni msaada wa mawazo namna ya kutatua tatizo hili.
Jibu - Wajibu ni kwa kila mzazi kulea watoto wake, akiwemo huyu mama anayeongelewa hapa. Watoto hawaombi kuzaliwa ma kutokuzaliwa.
Mano likwe likwe, ila kama ana mabinti wakiwa malaya ni wao tu, kuwa na mama malaya sio lazima na wao wawe hivyoSiku mwenye mke akaja mchambia hapo hapo [emoji8] daa, huyo kijana bado mwanachuo bado hao wadogo zake, kama kuna mabinti duu anawaambukiza tabia mbaya sana
Sent using Jamii Forums mobile app