Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Ni wajibu kwa wazaz wote wawili kulea watoto wao adi pale watakapofikia hatua ya kujitegemea labda itokee mzazi mmoja kufariki apo ndo tunasema wajibu utabakia kwa mzazi alie baki hai...
Pia ni wajibu watoto kuwahudumia wazazi wao pale wanapofikia hatua ya uzee.
So mtoto unapopata hudumu na mapenz mazur kutoka kwa wazaz au mzaz wako ni jambo la kushukuru sana kwani sio wote wanaopata hayo mapenzi,japo ni wajibu kwa mzazi kufanya hvyo.
Noma mzee mama zetu wengine ni kuwaombea tu wakishanogewa na mahaba ooho utaambulia laana bureChibu mwenyewe kaufyata na hela zake zote. Sembuse wewe kula-kulalw
Pumba waeza ekea kuku wakala wakashiba,Yani unaweza kuongea pumba kias hiki??
stidy
Hahaha uroda ale mwingine hasira upate wewe,Na wewe ni mama pia? Bahati mbaya sana watoto hawana uwezo wa kuchagua wazazi wao!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo dogo anaweza kumkaza Mama yake? Kama hawezi amuachie Anko aendelee kumkaza vizuri.
**News ingekua Kama Mama anakazwa na mwanae vinginevyo all the best kwa Mama mzaa chema
Haaaaa jamani 😄
Duh hatari fireAisee noma sana sema mama yenu Umalaya upo ndani ya Damu yani nyie hamuwezi kumbadilisha kama Hata wazazi wake ukute walishindwa ndo maana akawa anazaa ovyoo.. Cha muhimu muondoke hapoo mkatafute maisha yenu hiyo aibu ni ngumu kuizoea tena mshukuru ni Mbaba wengine wanagongwa na Vitoto kama nyie au wadogo zaidi.
Kuna mwana nilishuhudia alijinyonga kisa mama ake alikuwa analiwa na washkaji wa umri wake wakawa wanamtania mwana kuwa awaite baba mdogo kisa wanamla mama yake mwana aliongea sana akachoka Akaamua Kujinyonga. Ilisikitisha sana watu japo yule mama nae alikuja Kujinyonga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa kweli we umeelewa nilicho manisha,watu wanadhani tunafalia urithi la hasha.Katika watoto 4 tuliobaki ni Mimi peke yangu ndio bado nasoma ndungu zangu wengine tayari wana maisha yao na Mara nyingi nimekuwa nikiishi kwa kaka yangu.Between the lines...kinacho kusumbua na nduguzo ni ninyi kugeuzwa agenda ya mtaa au jamii
Ktk familia yetu pia tuliwah kupitia jambo hili naelewa sana, ni maika 11 sasa imepita...nasi tumezaliwa 7 kwa Baba 3 na Mama pia ni mtumishi
Ktk kabila letu kunamsema nitatafsiri... "Anaye lala na Mama yako ndo Baba yako"
Chozi limenitoka wakati naandika haya[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole kijana ila kwasabb wewe ki psychologia unajiona bado mdogo ila mambo hayo yanahitaji maamuzi binafsi makubwa (to be decissive )Mkuu kwa kweli we umeelewa nilicho manisha,watu wanadhani tunafalia urithi la hasha.Katika watoto 4 tuliobaki ni Mimi peke yangu ndio bado nasoma ndungu zangu wengine tayari wana maisha yao na Mara nyingi nimekuwa nikiishi kwa kaka yangu.
Watoto wote kwa kuwa tumezaliwa na baba tofauti hapa alipojenga Mama ndio tunachukulia kama chimbuko letu,kwa muda nimekuwa nikikaa na ndugu zangu Katika likizo hii ndio nikaamua kwenda kuishi kijijini na kumsaidia mama baadhi ya kazi.
Kibaya zaidi Baba yetu mlezi aliyetoka kutengana nae ambaye wameishi pamoja kwa miaka 15+ yupo hapa hapa kijini.Dada zangu likizo ya mwezi desemba walikuja kumsalimu Mama na Baba mlezi walipanga kukaa wiki 2 but waliishia kukaa siku 2 tu kutokana na hali hii.
Baba yetu mlezi ni kama wanawindana na jamaa,anaamini ya kuwa jamaa ndio chanzo cha Mama kutengana nae.
Pia ni busura zaid kukaa kimya na kuheshimu mawazo/mchango wa mwezio...Wakati mwingine ni vizuri kukubali alichosema mwenzio kuliko kukirudia kwa maneno mwngine.
Mkuu kwa kweli we umeelewa nilicho manisha,watu wanadhani tunafalia urithi la hasha.Katika watoto 4 tuliobaki ni Mimi peke yangu ndio bado nasoma ndungu zangu wengine tayari wana maisha yao na Mara nyingi nimekuwa nikiishi kwa kaka yangu.
Watoto wote kwa kuwa tumezaliwa na baba tofauti hapa alipojenga Mama ndio tunachukulia kama chimbuko letu,kwa muda nimekuwa nikikaa na ndugu zangu Katika likizo hii ndio nikaamua kwenda kuishi kijijini na kumsaidia mama baadhi ya kazi.
Kibaya zaidi Baba yetu mlezi aliyetoka kutengana nae ambaye wameishi pamoja kwa miaka 15+ yupo hapa hapa kijini.Dada zangu likizo ya mwezi desemba walikuja kumsalimu Mama na Baba mlezi walipanga kukaa wiki 2 but waliishia kukaa siku 2 tu kutokana na hali hii.
Baba yetu mlezi ni kama wanawindana na jamaa,anaamini ya kuwa jamaa ndio chanzo cha Mama kutengana nae.