Naombeni ushauri kuhusu mahusiano haya ya mama yangu na huyu mwanaume

Naombeni ushauri kuhusu mahusiano haya ya mama yangu na huyu mwanaume

Habari zenu,

Nimekuja na ID mpya ili kuficha utambulisho wangu wa awali ni kuomba msaada wa ushauri.

Naombeni ushauri na njia za kutatua tatizo hili.Ipo hivi kwenye tumbo la Mama yetu tulikuwa watoto 7 hadi Leo hii tupo 4. Katika watoto 7 tumezaliwa na Baba tofautitofauti 4. Katika hao baba zetu kuna moja wao ndio tumekuliwa kwake toka tukiwa wadogo badaye miaka 6 iliyopita Mama alitengana Nate.

Mama ni mtumishi wa umma, hivyo alinunua kiwanja na kujenga nyumba ambapo watoto wote 4 tuliongozana nae na kwenda kuishi nae, maana haikuwezekana kukaa tena kwa huyo baba mlezi sababu katika wathili.4 tuliobaki kati yetu 1 tu ndio mwanae kwahiyo ikabidi wote sisi sote tuongozane na mama. Ikumbuke kuwa katika sisi watoto 4, mtoto 1 hamjui baba yake wengine 2 Baba yao alifariki na mtoto 1 baba take ndio huyo aliyetulea.

Sisi sote miaka yetu ni 24+ na Mama yetu ni 52, jambo linalotusumbua ni kuwa Mama yetu ana mwanaume mwingine ambaye ni mume wa mtu. Jamaa huyu huwa anakuja na kulala hapa nyumbani karibu kila siku; huwa anasitisha kuja pale ambapo kaka yetu mkubwa akija nyumbani.

Ndugu na marafiki wamejaribu kumshauri mama kuwa tayari umri umekwenda na ana vijana wakubwa anatakiwa kuacha mambo hayo pasipo mafanikio, haelezeki wala haambiwi chochote. Kwa sasa tumefunga chuo sababu ya hii CORONA nipo hapa home naona aibu kijiji kizima kinatuzungumza.

Kaka yangu mkubwa alijaribu kuongea na huyo bwana mwaka jana; kwa kweli jamaa alisitisha kama miezi 2 hivi pasipo kuonekana, badaye ratiba ikaanza kama kawaida nimemjulisha kaka atafute siku 3 nyumbani tusaidiane kutatua tatizo hili. Pia, kila tukimsuhi Mama kuacha hiyo tabia majibu anayotupa ni kuwa huu mji ni wake na hamna aliyemsaidia kujenga hivyo anafanya chochote atakacho.

Ndugu zangu wana JF, naombeni msaada wa mawazo namna ya kutatua tatizo hili.
Hii tabia ya vijana kuingilia mahusiano ya wazazi inashika kasi. Kama mmemshauri mama yenu na anakomaa, muacheni. Sikio halizidi kichwa. Ama ikigeuka kero sana tumieni wazee watu wazima kumzidi au marafiki wa umri kama wake. Ni aibu mkikomaa kumshauri mama yenu mpaka kumnyima raha. Bila wazee hapo mambo hayaendi kabisa.
 
Kuna umri ukifikia 'sex' inakuwa ni hitaji muhimu kwa mwanadamu. Anachofanya mama yenu ni kutimiza hitaji lake muhimu, na nyie watoto mkiendelea kumfuatilia...ipo siku atawaambia kama mnauwezo wa kumpa 'sex' mmpatie.
Cha kuwashauri nyie watoto, mpendeni mama yenu pamoja na huyo baba yenu mdogo bila kuonyesha hisia zenu za machukizo ili waweze kuwasaidia nyie muweze kutimiza ndoto zenu. Huu ndio muda wa nyie kuwatumia wao kuhakikisha maisha yenu yanasimama imara, kuanzia elimu, kipato n.k ili muweze kujitegemea. Na kama mna upeo mkubwa...nyie watoto mnaweza kumfuata mama yenu na kumuambia,'mama sisi umri wetu ni mkubwa tunatakiwa tukuache hapa wewe na baba mdogo,kama inawezekana tunaomba utujengee nyumba sehemu nyingine ili tukajitegemee'. Hapo mama yenu atawaona mna akili....na atatekeleza kwa haraka ili kidume chake kije kiweke kambi hapo.
 
Watoto mnahitaji utulivu wa akili, kwa sababu kisaikolojia mmeathirika tangu utotoni.

Hata mfano mkihama mkamuacha mama peke yake tatizo bado litakuwa linawaandama pamoja na hasira na hata chuki.

Kwa sasa, mnaweza kumuacha huru mama, na nyinyi mkamsamehe tu ili kuweza kupata utulivu na amani.

Kwa baadae, watoto inabidi muanze kuishi maisha mapya kwa kusahau na kusamehe maisha yote mliyopitia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The bad news is mama yako bado miaka mitatu astafu kazi na kiinua mgongo chote atakula na hao wanaume [emoji47][emoji47] pole sana mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ningekuwa ni mimi ningeorganize na wadogo zangu, siku akija mwanaume yeyote kwa lengo la kulala na bimdashi tunamchezeshea bakora za maana bila huruma

Kama ufuska wao wakafanyie guest vinginevyo bimdashi atutafutie sehemu nyingine ya kuishi ili aendeleze starehe zake
 
Habari zenu,

Nimekuja na ID mpya ili kuficha utambulisho wangu wa awali ni kuomba msaada wa ushauri.

Naombeni ushauri na njia za kutatua tatizo hili.Ipo hivi kwenye tumbo la Mama yetu tulikuwa watoto 7 hadi Leo hii tupo 4. Katika watoto 7 tumezaliwa na Baba tofautitofauti 4. Katika hao baba zetu kuna moja wao ndio tumekuliwa kwake toka tukiwa wadogo badaye miaka 6 iliyopita Mama alitengana Nate.

Mama ni mtumishi wa umma, hivyo alinunua kiwanja na kujenga nyumba ambapo watoto wote 4 tuliongozana nae na kwenda kuishi nae, maana haikuwezekana kukaa tena kwa huyo baba mlezi sababu katika wathili.4 tuliobaki kati yetu 1 tu ndio mwanae kwahiyo ikabidi wote sisi sote tuongozane na mama. Ikumbuke kuwa katika sisi watoto 4, mtoto 1 hamjui baba yake wengine 2 Baba yao alifariki na mtoto 1 baba take ndio huyo aliyetulea.

Sisi sote miaka yetu ni 24+ na Mama yetu ni 52, jambo linalotusumbua ni kuwa Mama yetu ana mwanaume mwingine ambaye ni mume wa mtu. Jamaa huyu huwa anakuja na kulala hapa nyumbani karibu kila siku; huwa anasitisha kuja pale ambapo kaka yetu mkubwa akija nyumbani.

Ndugu na marafiki wamejaribu kumshauri mama kuwa tayari umri umekwenda na ana vijana wakubwa anatakiwa kuacha mambo hayo pasipo mafanikio, haelezeki wala haambiwi chochote. Kwa sasa tumefunga chuo sababu ya hii CORONA nipo hapa home naona aibu kijiji kizima kinatuzungumza.

Kaka yangu mkubwa alijaribu kuongea na huyo bwana mwaka jana; kwa kweli jamaa alisitisha kama miezi 2 hivi pasipo kuonekana, badaye ratiba ikaanza kama kawaida nimemjulisha kaka atafute siku 3 nyumbani tusaidiane kutatua tatizo hili. Pia, kila tukimsuhi Mama kuacha hiyo tabia majibu anayotupa ni kuwa huu mji ni wake na hamna aliyemsaidia kujenga hivyo anafanya chochote atakacho.

Ndugu zangu wana JF, naombeni msaada wa mawazo namna ya kutatua tatizo hili.
Kati ya maza na huyo jamaa nan mkubwa?
 
Hapo mama atajutia na atakumbuka ushauri wenu. Hapo soon anachukua mkopo ampe huyo jamaa na mtapitia maisha magumu sana.

Kama kuna ndugu wamshauri mama maana kwa huo umri atulie alee wajukuu na kumalizia mda wake wa kuishi hapa duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekumbuka movie ya BABY BOY(2001) ya Tyrese kama Jody anakasirika Melvin alivyoamia kwao akitembea na mamake jody.
Screenshot_20200510-214047_Google~2.jpeg
 
Mungu wangu tobaaaaah! Haya mbona matusi makubwa tena ya nguoni kabisaaa, khaaaaaaaaaaaaah watoto mnaingiliaje hisia za mzazi? Siku nyingne atawaambia mumpe kile anachopata kwa huyo mwanaume then akili iwakae sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimewaza mwanaume atakae kuwa na wewe ...ukienda kinyume ataenda kukushtakia Kwa mama yako ..kumbe wewe ni afadhali kuliko mama yako dah
 
Mama ana tatizo kubwa aliloshindwa kulitatua mapema sasa linamuandama hadi uzeeni.
Poleni sana.

Mbilingembilinge kaanza longtime kitambo wanafikiri watambadilisha kirahisi?

Hapo watafute ustaarabu kila mmoja aendelee na maisha yake wamwache Mama wa watu aponde maisha.

Kosa la mleta mada ni kupost hii kitu siku ya Mother's Day.
 
Tatzo si mama tatizo ni 24+ year old kids who watch their mom fucked by stranger just because they have no guts to either shift or deal with that stranger behavior. Haya endeleeni kushuhudia mama anavyofanywa mtawahadithia wajukuu wake.
 
Back
Top Bottom