Naombeni ushauri kuhusu mahusiano haya ya mama yangu na huyu mwanaume

Naombeni ushauri kuhusu mahusiano haya ya mama yangu na huyu mwanaume

Sisi sote miaka yetu ni 24+ na Mama yetu ni 52 ,Jambo linalotusumbua ni kuwa" Mama

Nyie watu wazima what are you doing at your mum's home she has her own life leave her alone she sacrificed for you and educated you that's enough go away at 52 she still needs a man to entertain her.......nyie siwelewi kabisa wengine tumeanza maisha at 18 na timefanikiwa mkbali tu, hayo ya mama wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Bullshit comments as ever ! Siezi shauri mtu atoke kwao eti kwa sababu ana miaka 20+ bila ya kuwa na pakuanzia ,tena kwa mwanachuo? Hata kama wewe umeanza na 18 ustake mtu afuate maisha yako ukute hata kufika chuo haukufika so haukuwa na njia nyengine ya kutoka zaidi ya ku hustle sasa unataka na wengine wafuate nyayo zako?


《Caprichar o teu sorriso》
 
Mama yenu hawezi kuishi bila mwanaume...
24+ muhame mkaishi kwenu, yupo hivyo miaka yote inaonekana tokea avunje sinia....mumuache mama afurahie mgegedo, vipi nyie??

Mnataka kugombea URITHI, baba wanne tofauti ni ishara mjitegemee...mtafute vyenu...hapo hamna chenu!

Everyday is Saturday.......................... 😎
Bado wanasoma hawana pa kusimamia really? So mnataka wakitoka hapo kisha wakaazna kuteseka muwaite chokoraaa au waizi? Muwe mnafikiria cha kuongea sa ingine aiseee

《Caprichar o teu sorriso》
 
Miaka 24 bado unafuatilia mahusiano ya mama yako?
Kabila gani nyie?
Achana na mama yake,hama hapo kakae kwako na ww tafuta mama wa kuwa nae kimapenzi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
KAMA ANGECHUKUA KIJANA KAMA MAMA DIAMOND MUNGESEMA ANACHO KIBEN TEN,AMECHUKUA MTU MZIMA MWENZIE AMBAYE KWA VYOVYOTE VILE HAWEZI KUKOSA NAE MKE..MNASEMA AMEPORA MME WA MTU.AFU ACHA KUSEMA MAMA YAKO UMRI UMEENDA MIAKA 52 NA KUENDELEA HAPO NDO KUNA UTAMU KUZIDI HATA BINTI WA FORM TWO,SASA ANGALIA MAMA YAKO AMEKARIBIA KUSTAAFU KWA HIARI NA ATAVUTA ZAKE MPUNGA WATOKOMEE KUSIKOJULIKANA NA WATAZIMA SIMU,AFU TUONE KAMA MTAENDELEA KUPIGA MPOYOYO,NYIE NDO MNAFANYA MAMA ZENU WAFE MAPEMA KWA KUWALETEA USUMBUFU.
HUYO MAMA HANA CHA KUPOTEZA NA WALA HAITAJI USHAURI WOWOTE,KWA HISTORIA YAKE YA WANAUME 4,AMEPAMBANA NA MENGI MUACHE HUYO MAMA ALE MAISHA,KWA KITENDO HIKI CHA KUACHWA ACHWA NA WANAUME ANGEWEZA KUWACHEMSHA HATA KWENYE SUFURIA MKIWA WADOGO AKAWAPIKA SUPU,KWA IYO MPE SPACE MAMA YAKO AINJOI.
 
Habari zenu,

Nimekuja na ID mpya ili kuficha utambulisho wangu wa awali ni kuomba msaada wa ushauri.

Naombeni ushauri na njia za kutatua tatizo hili.Ipo hivi kwenye tumbo la Mama yetu tulikuwa watoto 7 hadi Leo hii tupo 4. Katika watoto 7 tumezaliwa na Baba tofautitofauti 4. Katika hao baba zetu kuna moja wao ndio tumekuliwa kwake toka tukiwa wadogo badaye miaka 6 iliyopita Mama alitengana Nate.

Mama ni mtumishi wa umma, hivyo alinunua kiwanja na kujenga nyumba ambapo watoto wote 4 tuliongozana nae na kwenda kuishi nae, maana haikuwezekana kukaa tena kwa huyo baba mlezi sababu katika wathili.4 tuliobaki kati yetu 1 tu ndio mwanae kwahiyo ikabidi wote sisi sote tuongozane na mama. Ikumbuke kuwa katika sisi watoto 4, mtoto 1 hamjui baba yake wengine 2 Baba yao alifariki na mtoto 1 baba take ndio huyo aliyetulea.

Sisi sote miaka yetu ni 24+ na Mama yetu ni 52, jambo linalotusumbua ni kuwa Mama yetu ana mwanaume mwingine ambaye ni mume wa mtu. Jamaa huyu huwa anakuja na kulala hapa nyumbani karibu kila siku; huwa anasitisha kuja pale ambapo kaka yetu mkubwa akija nyumbani.

Ndugu na marafiki wamejaribu kumshauri mama kuwa tayari umri umekwenda na ana vijana wakubwa anatakiwa kuacha mambo hayo pasipo mafanikio, haelezeki wala haambiwi chochote. Kwa sasa tumefunga chuo sababu ya hii CORONA nipo hapa home naona aibu kijiji kizima kinatuzungumza.

Kaka yangu mkubwa alijaribu kuongea na huyo bwana mwaka jana; kwa kweli jamaa alisitisha kama miezi 2 hivi pasipo kuonekana, badaye ratiba ikaanza kama kawaida nimemjulisha kaka atafute siku 3 nyumbani tusaidiane kutatua tatizo hili. Pia, kila tukimsuhi Mama kuacha hiyo tabia majibu anayotupa ni kuwa huu mji ni wake na hamna aliyemsaidia kujenga hivyo anafanya chochote atakacho.

Ndugu zangu wana JF, naombeni msaada wa mawazo namna ya kutatua tatizo hili.
Mama bado anapenda kutiwa na it seems amekitombesha sana ndo maana kazaa na watu wanne tofauti..Sasa na miaka 52 bado hajatosheka kunyambuliwa uchi tuu[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mwanamke anahitaji na anahaki ya kuwa na mwanaume kwa mtazamo wangu, kuwa na mwanaume sioni kama ni tatizo, tatizo inategemea jinsi anavyobehave kwenu.
Ushauri wangu, watumieni wajomba au watu wake wa karibu wamshauri ajirekebishe kama anamissbehave, pole sana mkuu nafahamu unavyoumia na hukuchagua uzaliwe na mama huyo. Jitahidi ujitegeme ukae naye mbali kuepuka fedheha!

Iliwahi kumtokea kaka yangu, kwa Mama mwingine, mama yake aliolewa na kijana ambaye umri wake ulikuwa mdogo kuliko na watoto wake, kaka alikuwa anafedheheka sana.
Wamama hawa wanakua na hisia sana wanapo pata mkuyenge wa kukuna vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado wanasoma hawana pa kusimamia really? So mnataka wakitoka hapo kisha wakaazna kuteseka muwaite chokoraaa au waizi? Muwe mnafikiria cha kuongea sa ingine aiseee

《Caprichar o teu sorriso》
Hao siyo 4+ Au 14+ ni wanaume 24+, watumie akili zao...kuwa chuo haimaanishi hawezi kujitafutia kazi ndogondogo akaishi..wapo wenzao wanaojisomesha huku wakifanya vibarua...

Chokoraa ni watoto wadogo...

Wakubwa hao...siyo watoto I REPEAT!

Everyday is Saturday...................... 😎
 
Nimejaribu kujiweka katika nafasi yenu ila naona nisingeweza kuvumilia hiyo hali kwa namna yoyote ile. Ni dharau kubwa sana kwa huyo mzee kuja kulala kwenu ili hali nyie ni wakubwa hivo.
Mama yenu hamuwezi kumfanya jambo lolote lile, nyie mdeal na huyo mzee asiyejiheshimu. Huyo ndo wa kumfanya asije kwenu, tena siyo yeye tuu. Mwanaume yoyote yule atakayekuwa anakuja kwenu kwa ajili ya Mama yenu mfanyieni huu mchezo.

Bora lawama kuliko fedheha, Tafuteni masela wahuni muwape pesa, wamvizie wamkamate huyo mzee achezee kichapo haja, kichapo cha kuugulia nyumbani kwake hata week au zaidi hatoki ndani na ajue sababu ya hicho kichapo ni nini. Na akirudia ajue kitamkuta nini.

Mtoto wa kiume unatakiwa uwe mbadala wa Baba kwenye familia yenu, japokuwa Mama yenu ni mbabe na haambiliki. Ila jaribu kuwa Nunda kidogo kama wewe ni wa kiume.
 
Hakika zinaaa ni njia mbaya kabisa.anachokifanya .mama si kitu kizuri hata kidogo mtu ukishafika miaka 40 alafu ukawa bado unafanya uzinifu unakuwa mtu wa hovyo kabisa.cha muhimu hapo mama kama anataka ndoa aolewe tu kabisa apate sitara na sio kuingiza vivulana
 
Mano likwe likwe, ila kama ana mabinti wakiwa malaya ni wao tu, kuwa na mama malaya sio lazima na wao wawe hivyo
Sikatai hilo ila mazingira mtoto mdogo anaona kumbe ni jambo la kawaida, kuna mama ilimtokea puani, ulichepuka na watoto wake wawili na kubaya zaidi ni wakiume akija nyumbani anajinafasi mpaka kwa watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati huu wa korona kwa vile muko nyumbani wote, muiteni kaka yenu akija mfanyieni timing huyo mwanaume akija nyumbani mkamateni mumpe kipigo heavy kitakachomfanya alale ndani kwa siku kadhaa ila mzingatie msimvunje kiungo chochote na wakati huo mpeni onyo kali kua akirudia mtammaliza kabisa.
N.B: kabla ya kufanya hayo mhakikishe mna pesa ya kushughulikia dhamana yenu police.
Usisahau kuleta mrejesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushauri mwingine mpaka mtu unacheka jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katufeteni kwenu,mpeni nafasi mama yenu.
 
Mama yenu ana tatizo, tena kubwa tu. Naelewa hilí coz niko na close relative nae anapitia same lifestyle and now all men have left her, anaishi shida tu japo pesa anayo. Ameshaharibikiwa hivyo na hawezi ishi kawaida tena, kubadilisha badilisha ovyo wanawake/wanaume kunaiathiri familia nzima. Bora hata wangekuwa na namna ya kumudu mahusiano Yao, at 52, 7 kids kila mtu na babaye aaagr!

Sema nini, someni then ondokeni home ili mama amalizie ujana wake.
 
Kwanza, NIKUPONGEZE Mama kwa jitihada zako kulea watoto wote hao mwenyewe. Pili, Bora una mtu mmoja anayekupoza mahitaji yako ya mwili kuliko ungeamua kuruka na vijana wa bodaboda mtaani.
 
Unamsema Ankali Shamte.?[emoji16][emoji16]

Ila kwa umri huo inauma kushuhudia mama’ako analiwa na njemba asiye rasmi, na vile maza mshaonesha kumpiga mkwara huenda akakoleza mahaba ili kuwakela zaidi.

Miaka 24 ondoka nyumbani kaishi getho mtaani, zingatia masomo yako huku ukijifunza maisha.... mshukuru mama ameweza kuwalea na kuwasomesha.

Cheers 🥂
 
Back
Top Bottom