Naombeni ushauri kuhusu nyumba yangu niliyoijenga Maramba Mawili

Kuna sehemu niliona anatia huruma kuomba connection ys ya ajira nikatamani ningekua na uwezo nimfanyie wepesi.Imagine ningekua na huo uwezo hlf unaingia cha kike kumsaidia mtu kama huyu.
Tena usije ukajaribu dada utajitafutia matatizo, watu humu waache humu humu.!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kaupiga mwingi
Km ana simu hapo kajifotoa za kutosha.!
Mzee wa bongo bahati mbaya natamani sana nimuone
😁😁😁.
Lazima niwakutanishe
 
😁😁😁.
Lazima niwakutanishe
Nijiandae kuvunjika mbavu, nitampa kazi si fundi mzuri??
Kuna dogo anataka kuanza ujenzi vikunai soon
Lazima mzee wa bucci tumuongezee madili azidi kutamba town πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nijiandae kuvunjika mbavu, nitampa kazi si fundi mzuri??
Kuna dogo anataka kuanza ujenzi vikunai soon
Lazima mzee wa bucci tumuongezee madili azidi kutamba town πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Dogo gani wkt ni wewe?😁😁

Yes yuko vizuri kwa kweli hlf ni mstaarabu.
Muwezeshe na yeye akuwezeshe kwenye Zaba😁
 
Dogo gani wkt ni wewe?😁😁

Yes yuko vizuri kwa kweli hlf ni mstaarabu.
Muwezeshe na yeye akuwezeshe kwenye Zaba😁
Sio mimi sis πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Pesa ya plot vikunai naitoa wapi??

Lazima nimuunganishe na mimi anifikirie kwenye upande wa Zaba na Bucci mtu wa maana kabisaa.!! 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…