Naombeni ushauri kuhusu nyumba yangu niliyoijenga Maramba Mawili

Usiuze wewe karabati tu then weka mtu... maramba ni moja ya maeneo ambayo yanaenda kuwa ghari sana so kama huna shida yoyote ifanyie ukarabati weka wapangaji... kodi ni makubaliano na wewe ndio unatakiwa upange kwa kushirikiana na dalali.
Sawa mkuu.
Naomba unisaidie kukadiria kodi kwa nyumba ya hayo maelezo coz huyo mpangaji nilimpa taarifa kuwa nataka kukarqbqti nipandishe kodi akanukatushq tamaa eti kule hapapendwi na wapangaji sbb ya shida ya maji.
 
Sawa mkuu.
Naomba unisaidie kukadiria kodi kwa nyumba ya hayo maelezo coz huyo mpangaji nilimpa taarifa kuwa nataka kukarqbqti nipandishe kodi akanukatushq tamaa eti kule hapapendwi na wapangaji sbb ya shida ya maji.
Ofcoz yale maeneo changamoto yake kubwa ni maji but hilo sio tatizo coz utawawekea tank kuuuubwa ili wawe wanajisevia wenyewe.... 350k
 
Mambo mengine mbona rahisi sana, tafuta mtu anyefanya valuation(zipo kampuni zinazofanya hilo) kisha wakupe ripoti ya thamani ya nyumba kisha uamue sasa kama utakarabati upangishe au ukarabati uuze ukawekeze huko mtoni kijichi. Ukihitaji fedha za kufanya hivyo hukosi kwa sababu unaweza kopea fedha benki kwa ajili ya kukarabati hapo. Uamuzi ni wako
 
Boss naishi karibu na Malamba Mawili, Aiseee chonde chonde usipauze. Maeneo ya Mbezi watu wanahamia Malamba. Segerea na Kinyerezi wanahamia Kifuru. Nyumba zina Bei nzuri sana ukipangisha. Bei ya kupangisha ukiikarabati haiwezi kupungua Laki 5. Kuna kaeneo Malamba nilikachukua Milioni 9 mwaka Jana, sasa hivi kuna Jamaa anataka kunitoa kwa Milioni 20. USIPAUZE.
 
Kweli aisee ila sijui nishafanya kosa coz nishawaambia nataka kurekebisha halafu nipandishe kodi.
 
Bora wewe,mimi nna nyumba mapinga ya bagamoyo,kodi laki na nusu nyumba ya room tatu sebule ,jiko,dining, aluminium windows,etc.
 
Tafuta namna uigeuze guest uwe unalaza si chini ya 50 kila day
 
Maramba mawili ipii? Km kuanzia Msikitini, yaan kibozone kuja huku mbezi na nyumba iko karibu na Lami, bas usiuze ila ikarabati iwe ktk hali nzuri.

Kodi weka Affordable, upige mapene na ufaidi maishaa.
 
Hao wa zogo wamenishangaza nao mana liliibuka ghafla
 
Malamba mawili ipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…