Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
DALALI MKUU mambo yako haya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanitia mori sijui kwanini naipuuzia nyumba yanguSasa MAKUTI si ndo town center ya maramba, iko upande upi?
Maramba Sec au shule ya msingi? Km iko upande wa njia hii ya zege inayoenda had kwa msuguli, bas ifanyie ukarabati, hiyo Sehemu iko vizuri sana kwa sasa.
Ikarabati afu pandisha kodi, wapangaji wapo na utatambaa nao.
Yeye mbona anakaa 😂😂, au ana ubia na dawasko.Sawa mkuu.
Naomba unisaidie kukadiria kodi kwa nyumba ya hayo maelezo coz huyo mpangaji nilimpa taarifa kuwa nataka kukarqbqti nipandishe kodi akanukatushq tamaa eti kule hapapendwi na wapangaji sbb ya shida ya maji.
ngoja tumtafutie boss wikiendi tukale nyagiDALALI MKUU mambo yako haya.
Nilijengega kisima cha tofali kinavuna maji.ya mvua kikubwa wanatumia hadi bomba ya mvua.Wananunua ya kunywa tuOfcoz yale maeneo changamoto yake kubwa ni maji but hilo sio tatizo coz utawawekea tank kuuuubwa ili wawe wanajisevia wenyewe.... 350k
Ooh ulifanya kweli kumbe, siku ya kwenda huko nipitie hapa mbezi nikapaone namimi.Nilijengega kisima cha tofali kinavuna maji.ya mvua kikubwa wanatumia hadi bomba ya mvua.Wananunua ya kunywa tu
Kwa karibu na barabara kuu vina bei mkuu, kuanzia mpk milioni 10,15,20, nk.Huko mapinga kuna mtu alinigusia akasema kuko vizuri, viwanja bei gani??
We jamaa ndio kusema nyumba yangu nitapangisha laki 7 kama ndio hivyo.Boss naishi karibu na Malamba Mawili, Aiseee chonde chonde usipauze. Maeneo ya Mbezi watu wanahamia Malamba. Segerea na Kinyerezi wanahamia Kifuru. Nyumba zina Bei nzuri sana ukipangisha. Bei ya kupangisha ukiikarabati haiwezi kupungua Laki 5. Kuna kaeneo Malamba nilikachukua Milioni 9 mwaka Jana, sasa hivi kuna Jamaa anataka kunitoa kwa Milioni 20. USIPAUZE.
Hujamalizia mkuu... Juu ya mfuko wa shatiNiuzie nina hela inazagaazagaa
Bora wewe,mimi nna nyumba mapinga ya bagamoyo,kodi laki na nusu nyumba ya room tatu sebule ,jiko,dining, aluminium windows,etc.
Asante kwa ushauri huu mkuu.Boss naishi karibu na Malamba Mawili, Aiseee chonde chonde usipauze. Maeneo ya Mbezi watu wanahamia Malamba. Segerea na Kinyerezi wanahamia Kifuru. Nyumba zina Bei nzuri sana ukipangisha. Bei ya kupangisha ukiikarabati haiwezi kupungua Laki 5. Kuna kaeneo Malamba nilikachukua Milioni 9 mwaka Jana, sasa hivi kuna Jamaa anataka kunitoa kwa Milioni 20. USIPAUZE.