Naombeni ushauri kuhusu nyumba yangu niliyoijenga Maramba Mawili

Hi JF.

Ndugu zangu naomba mawazo yenu.

Ni hivi, kuna nyumba iko hapo Mbezi Maramba mawili naona kama nilipoteza muda na hela zangu bure coz haina faida yeyote kwangu tokea nimeijenga.

Ilipokamilika nilimpa uncle wangu na wife wake wakae. Baada ya miaka 3 ndugu akajiongoza akaenda panga 2 rooms then akaleta mpangaji kwa 200K kwa mwezi. Ikawa ile kodi anatumia kulipia zile 2 rooms inayobaki anatumia.

Ikaenda hivyo for two years nikiwa sijui kitu coz baada ya kuwakabidhi sikuwahi tena kwenda huko hadi siku jirani mmoja kunipigia akilalamika kuhusu wapangaji wangu.Nikashangaa ikabidi niende kwa lengo lakuwatimua hao waliopangishwa bila idhini yangu.

Kufika Maramba, nilijicheka kumebadilika, kumejengwa hata njia ya kufika kwangu nimeisahau😁😁 ila nilifika nikakuta nyumba imechoka baadhi ya vioo vimevunjwa, vitasa hakuna, rangi ndo usiseme ila wapangaji walinipokea vizuri na walikua watu wastaarabu sana.

Nikajitambulisha na wakashangaa coz kwa 2 yrs wanajua ndugu yangu ndo mama mwenye nyumba wao wakaanza kulalamika kutapeliwa.

Nikawaambia hakijaharibika kitu endeleeni kukaa ila nikawaomba wanipe 300k kwa mwezi sababu nyumba imechoka coz 200K ni ndogo sana.

Hiyo 300K kwa mwezi walilipa miezi 6 tu then Covid 19 ikaja wakaomba 200k coz imempozea baba kazi, nikakubali nikiwa naplan nikaikarabati then niweke mpangaji atakayenipa hela yakuridhika.

Cha ajabu nina hiyo plan tokea enzi za Covid ila kila nikifikiria kwenda Maramba kufanya huo mchakato naona uvivu na mind you marekebisho makubwa hapo ni rangi tu na toka nilipoenda kujitambulisha sijarudi tena Maramba so mpaka leo wananipa 200K kwa mwezi ila nahisi ni ndogo sana.

Ninawaza niiuze hiyo nyumba then nikajenge kwenye moja ya plots zangu zilizoko Mtoni Kijichi.Kijichi kuna kodi nzuri.

Au niikarabati then niongeze kodi ila hapa nashindwa kuamua coz sijui soko la nyumba za kupanga likoje hapo Maramba Mawili.

So majirani zangu wa Maramba Mawili hebu niambieni eti kajumba ka 3 bedrooms,big living room,dinning,jiko,choo cha master na public,alluminium window,tiles,umeme ikiwa kwenye hali nzuri halali yake kwa mwezi ni bei gani kupangisha kwa sasa?Enzi hizo kabla wakati nampatia uncle wangu alipatikana mpangaji wa 350K kwa mwezi kwa kila miezi 4.

Na je nikisema niuze nitapata kiasi gani eti majirani zangu wapendwa(Kwa kukadiria)

Natanguliza shukrani zangu Majirani zangu wapendwa.Sisi ni ndugu tusaidiane🙏🙏
Sio kwamba yuko Blackmailed??

Kuna kitu aliwahi kusema kuwa walipofungwa mahabusu enzi za Mtu Yule kuna kitu walifanyiwa na kwamba ni cha aibu sana. Sasa huenda wamemwambia mzee ingia mtaani fanya kazi na sisi ukigoma tunasambaza zile issue.

Sasa kwa mazingira jama haya ni Mungu tu ndie anajua.
Alivyosema ni kweli hakuna chama zaidi ya hicho maana mambo yake hata Joka juu, yule joka wa zamani aitwaye Ibilisi na Shetani hawezi kufikia.
 
Hi JF.

Ndugu zangu naomba mawazo yenu.

Ni hivi, kuna nyumba iko hapo Mbezi Maramba mawili naona kama nilipoteza muda na hela zangu bure coz haina faida yeyote kwangu tokea nimeijenga.

Ilipokamilika nilimpa uncle wangu na wife wake wakae. Baada ya miaka 3 ndugu akajiongoza akaenda panga 2 rooms then akaleta mpangaji kwa 200K kwa mwezi. Ikawa ile kodi anatumia kulipia zile 2 rooms inayobaki anatumia.

Ikaenda hivyo for two years nikiwa sijui kitu coz baada ya kuwakabidhi sikuwahi tena kwenda huko hadi siku jirani mmoja kunipigia akilalamika kuhusu wapangaji wangu.Nikashangaa ikabidi niende kwa lengo lakuwatimua hao waliopangishwa bila idhini yangu.

Kufika Maramba, nilijicheka kumebadilika, kumejengwa hata njia ya kufika kwangu nimeisahau😁😁 ila nilifika nikakuta nyumba imechoka baadhi ya vioo vimevunjwa, vitasa hakuna, rangi ndo usiseme ila wapangaji walinipokea vizuri na walikua watu wastaarabu sana.

Nikajitambulisha na wakashangaa coz kwa 2 yrs wanajua ndugu yangu ndo mama mwenye nyumba wao wakaanza kulalamika kutapeliwa.

Nikawaambia hakijaharibika kitu endeleeni kukaa ila nikawaomba wanipe 300k kwa mwezi sababu nyumba imechoka coz 200K ni ndogo sana.

Hiyo 300K kwa mwezi walilipa miezi 6 tu then Covid 19 ikaja wakaomba 200k coz imempozea baba kazi, nikakubali nikiwa naplan nikaikarabati then niweke mpangaji atakayenipa hela yakuridhika.

Cha ajabu nina hiyo plan tokea enzi za Covid ila kila nikifikiria kwenda Maramba kufanya huo mchakato naona uvivu na mind you marekebisho makubwa hapo ni rangi tu na toka nilipoenda kujitambulisha sijarudi tena Maramba so mpaka leo wananipa 200K kwa mwezi ila nahisi ni ndogo sana.

Ninawaza niiuze hiyo nyumba then nikajenge kwenye moja ya plots zangu zilizoko Mtoni Kijichi.Kijichi kuna kodi nzuri.

Au niikarabati then niongeze kodi ila hapa nashindwa kuamua coz sijui soko la nyumba za kupanga likoje hapo Maramba Mawili.

So majirani zangu wa Maramba Mawili hebu niambieni eti kajumba ka 3 bedrooms,big living room,dinning,jiko,choo cha master na public,alluminium window,tiles,umeme ikiwa kwenye hali nzuri halali yake kwa mwezi ni bei gani kupangisha kwa sasa?Enzi hizo kabla wakati nampatia uncle wangu alipatikana mpangaji wa 350K kwa mwezi kwa kila miezi 4.

Na je nikisema niuze nitapata kiasi gani eti majirani zangu wapendwa(Kwa kukadiria)

Natanguliza shukrani zangu Majirani zangu wapendwa.Sisi ni ndugu tusaidiane🙏🙏
haters watasema Tatepa tea company
 
Pesa ilikusahulisha 😂😂😂
Usiuze na kijichi ulikosema kuko poa sana, tena kule ndio kuko hot ss hivi.
Na mimi nitafutie plot kijichi napapenda sana.!! Si utanichangia dada mkubwa!!😜

Acha tu dogo tuhela tulikuwepo na majukumu hayakuwa mengi basi hata nyumba unatoq tu sadaka sasa hivi na utawala wa maza kizimka mashauzi kwisha😁😁.

Kwa kijichi worry out hesabu ushapata.
Sipati picha tukiwa majiranj tutakavyokuwa wehu.Hapa mamaa ya Zaba,hapa mzee wa bucci katikati mimi.dada lenu😁😁
 
Unanitia mori sijui kwanini naipuuzia nyumba yangu
Niache uzembe sasa.
Napuuzia maokoto utadhani nimejipata kumbe bado najitafuta.
Si mbali na maeneo hayo hayo

unayotaja
Dear fanyia ukarabatii haraka na pandisha kodi, wapangaji utapata had uwakimbie.

Hili eneo wengi wanazamia, hasa vijana wanao anza maisha.
Hivyoo wapangaji wa kutoshaa sanaa.
 
Acha tu dogo tuhela tulikuwepo na majukumu hayakuwa mengi basi hata nyumba unatoq tu sadaka sasa hivi na utawala wa maza kizimka mashauzi kwisha😁😁.

Kwa kijichi worry out hesabu ushapata.
Sipati picha tukiwa picha tutakavyokuwa wehu.Hapa mamaa ya Zaba,hapa mzee wa bucci katikati mimi.dada lenu😁😁
😂😂😂😂 hapo kwa mzee wa bucci wallahi ntshinda mbavu zinaniuma.!
 
Maramba sehem gani, mboan bado kupo potential kiufupiiii nendaa kairekebishe iwe ktk hali nzuri kabisa kila kitu yani iwe kama mpya kabisa then ndo uanze kupandisha iyo kodi yako
Fanya kila chumba 50k×3 ni 150k living room 50k, apo 200k eneo+ vyoo+jiko na mengineyo 50k kodi wafanyie 250k maximum acha tamaa
 
Hii iko vizuri sanaa!!
 
Back
Top Bottom