Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda badae kwa sasa nina ptojects kibao nikianzisha mchakato wa kuigeuza guesz nitakufa kwa stress sbb napenfa kusimamia mambo.yangu mwenyewe na pia ikiwa guest huko ni mbali kufuatilia.Labda badaeTafuta namna uigeuze guest uwe unalaza si chini ya 50 kila day
Huko mapinga kuna mtu alinigusia akasema kuko vizuri, viwanja bei gani??Bora wewe,mimi nna nyumba mapinga ya bagamoyo,kodi laki na nusu nyumba ya room tatu sebule ,jiko,dining, aluminium windows,etc.
Hanilogi sema zamani nilikua na vihela sahivi nimefulia kwa hiyo ndo naitumbulia macho.😁Usiuze ifanyie ukarabati pandisha kodi km hawezi ahame, nyumba ni asset nzuri inapanda bei kila siku.!!
Huyo mpangaji atakuwa anakufanyia jambo sio bure miaka miwili usiende kukagua nyumba yako??!
Pesa ilikusahulisha 😂😂😂Hanilogi sema zamani nilikua na vihela sahivi nimefulia kwa hiyo ndo naitumbulia macho.😁
Ila ushauri wako na wengine walioshsuri nidiuze nimeupokea🙏🙏
Nitafanya hivyo mdogo wangu
Usinambie wewe ni jirani yangu bestieMaramba mawili ipii? Km kuanzia Msikitini, yaan kibozone kuja huku mbezi na nyumba iko karibu na Lami, bas usiuze ila ikarabati iwe ktk hali nzuri.
Kodi weka Affordable, upige mapene na ufaidi maishaa.
Okay.Ni Maramba sehemu gani, kama ni karibu na njia kuu pana hela. Maramba ni karibu na Mbezi Luis hivyo kodi inapanda kila siku, shida yake napo pamejengwa kiholela tu kama maeneo mengi ya Daslam.
Naenda soon aisee watagombana na wachawi wao safari hii.Nimeamua kwa kweliDaah wamekutaimu ndugu yangu! Wamekuroga 100% kuna kitu wamekufanyia ndo maana kila ukitaka kwenda unaona uvivu hiyo siyo hali ya kawaida umerogwa. Hiyo ndo mbinu nyingi zinafanyika kwa wapangaji wengi kwa wenye nyumba..! Usipoweka jitihada hutakaa uwende hapo.
Sasa MAKUTI si ndo town center ya maramba, iko upande upi?Usinambie wewe ni jirani yangu bestie
Iko maeneo karibu na kituo kinaitwa MAKUTI
Ukifanikiwa kwenda naomba utu update..!Naenda soon aisee watagombana na wachawi wao safari hii.Nimeamua kwa kweli
Uwe na subira, usiuze, tafuta pesa kajenge nyingine huko kwingineN
Ni kweli ila ndo nishaijenga mkuu