Dalali wa mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 326
- 464
- Thread starter
- #61
Hapana hamna, ipo 3 series tuHebu niambie
BMW X3 ya mwaka 2007 kupanda juu unayo yard kwenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana hamna, ipo 3 series tuHebu niambie
BMW X3 ya mwaka 2007 kupanda juu unayo yard kwenu
Huna uzoefu wa udalali wa kuuza magari halafu unataka kuuza nyumba utumie tobo ikiwa huna uzoefu?pata kwanza uzoefu halafu utajua kama hela yako itarudi.Mimi ni baba wa watoto watatu Na mke mmoja Nina miaka 34.
Mtoto wa Kwanza ni kwa mwanamke wa Kwanza na Hawa wawili ni kwa mke niliyenae sasa ambaye naishi nae hapa nyumbani.
Nimezaliwa Na kukulia mkoa X, nimekuja Dar kutafuta Maisha lakini mji huu unahitaji uwekezaji Na connection Za biashara.
Nina nyumba yenye uwanja mkubwa, nimeijenga baada ya kwenda South Africa lakini Kwa sasa Maisha ni magumu Sana South Africa kwahiyo nikachukuwa jukumu la kurudi nyumbani.
Nilianzisha biashara ya Duka la spear za pikipiki mkoa niliozaliwa lakini Ile biashara ilikuja kufa kabisa nikaamua kuuza ili nipate Kodi ya kuja kuanza Maisha Dar es salaam.
Nimepata rafiki ambaye yeye anauza magari yake kwahiyo Mimi nikaanza Kazi ya udalali WA kuuza magari lakini Sina uzoefu hii Kazi ya udalali WA magari.
Maamuzi yangu Ni kuuza nyumba Na kuondoka mkoa X kabisa na pesa ambayo nitaipata natumia hili tobo la huyu rafiki yangu kwajili ya kununua MAGARI japani Na kuuza hapa nyumbani.
Naombe ushauri wenu wadau maamuzi ya kuuza nyumba Ni mazuri kweli ama hapana.?
Usije ukauza nyumba kisa kuja kifanya kazi ambayo huna uhakika nayo DarMimi ni baba wa watoto watatu Na mke mmoja Nina miaka 34.
Mtoto wa Kwanza ni kwa mwanamke wa Kwanza na Hawa wawili ni kwa mke niliyenae sasa ambaye naishi nae hapa nyumbani.
Nimezaliwa Na kukulia mkoa X, nimekuja Dar kutafuta Maisha lakini mji huu unahitaji uwekezaji Na connection Za biashara.
Nina nyumba yenye uwanja mkubwa, nimeijenga baada ya kwenda South Africa lakini Kwa sasa Maisha ni magumu Sana South Africa kwahiyo nikachukuwa jukumu la kurudi nyumbani.
Nilianzisha biashara ya Duka la spear za pikipiki mkoa niliozaliwa lakini Ile biashara ilikuja kufa kabisa nikaamua kuuza ili nipate Kodi ya kuja kuanza Maisha Dar es salaam.
Nimepata rafiki ambaye yeye anauza magari yake kwahiyo Mimi nikaanza Kazi ya udalali WA kuuza magari lakini Sina uzoefu hii Kazi ya udalali WA magari.
Maamuzi yangu Ni kuuza nyumba Na kuondoka mkoa X kabisa na pesa ambayo nitaipata natumia hili tobo la huyu rafiki yangu kwajili ya kununua MAGARI japani Na kuuza hapa nyumbani.
Naombe ushauri wenu wadau maamuzi ya kuuza nyumba Ni mazuri kweli ama hapana.?
Shukrani kakaUkiuza Nyumba na biashara ukafeli utakuwa mgeni wa nani na wanao?Dalali hana Mtaji,pambana na Domo!
Kabisa mkuu.Muone dalali wa madalali DALALI MKUU akupe maujanja na ndumba za kidalali..
Si ajabu hiyo hela ukatapeliwa na madalali wenzio, dalali msingi domo tu. Kama ngenga imo unaweza anza na mali kauli tu na ukatoboa, ninyi watu wa maneno mengi ni rahisi kumuaminisha mtu.
Hii akili na yeye pia anayo, ndio mana anashindwa kuishi bongo,kabeba usouthusouth kichwani kiasi kuokota makopo apate pesa ya kuishi anaona jau, Wana watamcheka,, anataka biashara zenye hadhi ya kisouth south, ningemshauri kitu jamaa, atune, apunguze mahitaji na vipaumbele, aanzie chini, this time ajitahidi kutafuta Hela ya kula tu, watoto awapeleke shule za kawaida, atangaze Hali ngumu ya kiuchumi kwa wife ili wife nae ajiandae kisaikolojia , kama mke ana hofu ya Mungu atavuka kipindi hiki, mana mwanamke kama siyo mwelewa ni kazi kufuata ushauri wangu, wanapenda sifa sana wanawakeKutoka South mpaka kuja kuwa dalali bongo..bonge la msamba.
Puff dady anahusika hapoUnatumia nini?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Shukran mkuuHii akili na yeye pia anayo, ndio mana anashindwa kuishi bongo,kabeba usouthusouth kichwani kiasi kuokota makopo apate pesa ya kuishi anaona jau, Wana watamcheka,, anataka biashara zenye hadhi ya kisouth south, ningemshauri kitu jamaa, atune, apunguze mahitaji na vipaumbele, aanzie chini, this time ajitahidi kutafuta Hela ya kula tu, watoto awapeleke shule za kawaida, atangaze Hali ngumu ya kiuchumi kwa wife ili wife nae ajiandae kisaikolojia , kama mke ana hofu ya Mungu atavuka kipindi hiki, mana mwanamke kama siyo mwelewa ni kazi kufuata ushauri wangu, wanapenda sifa sana wanawake
Kijana jitahidi sana uweze kulipia pesa ya Ardhi au nyumba kabisa.Puff dady anahusika hapo
Akili yqko hii au roho mbayaKabla hata sijamaliza kusoma nakuambia hivi, UZA! Acha uoga na utatoboa
Siuzi mkuuNyumba iko Maeneo gani?
Sifa ya nyumba?
Ukubwa wa uwanja?
Bei gani?