Dalali wa mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 326
- 464
- Thread starter
- #81
Nina zaidi ya moja lakini zipo katika eneo moja kwahiyo ili niuze inabidi niuze zoteKama una zaidi ya moja uza 1 ila kama ndio hiyo hiyo powa usiuze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina zaidi ya moja lakini zipo katika eneo moja kwahiyo ili niuze inabidi niuze zoteKama una zaidi ya moja uza 1 ila kama ndio hiyo hiyo powa usiuze
Haifai kabisa usiuze mwaya jaribu kutafuta njia ingine why usiwe dalali tu wa magari ya mwenzako uwe unakusanya hela mpaka upate ya mzigoNina zaidi ya moja lakini zipo katika eneo moja kwahiyo ili niuze inabidi niuze zote
We naye sasa south nayo nchi
Dada angu siuzi TenaHaifai kabisa usiuze mwaya jaribu kutafuta njia ingine why usiwe dalali tu wa magari ya mwenzako uwe unakusanya hela mpaka upate ya mzigo
Usiuze mwayaDada angu siuzi Tena
Nimeona hii changamoto ambayo ninayo Sasa nitaikabili Tu kivyovyote Na itapiata.
Huu Ni wakati wangu wa KATIKATI yaani nisonge mbele kwa kuvuka huu mstari au nishindwe nirudi nyuma.
Kwahiyo nimeona Ni Bora iwe machozi damu Na jasho lakini nivuke huu mstari.
Nimeumbwa MWANAUME kwahiyo inabidi nisifelishe kizazi changu yaani watoto wangu wasije kusikia baba yanu aliuza nyumba Kwa ugumu wa maisha nataka wasikie baba yenu alitaka kuuza nyumba zake Kwa ugumu wa maisha lakini alikomaa na hadi Leo hii nyumba zipo Na nyingine anazo huko Dar es salaam mlipo kulia.Mana hapa mkoani mliondoka mkiwa bado wadogo.
Hapana it's the same and it is a bad ideaKwann usifanye mpango ukaongea na watu wa bank wakakupa mkopo mkubwa kuzid thaman ya nyumba yako
Lakin la pili ulichonacho ndo chako unaweza uza nyumba afu ukafika mkoa mambo yakagoma
Tatu na mwisho kua mkwel eleza ni mkoa gan unataka enda yaweza saidia wadau kujua ni ushauri gan wanakupa sabu unaweza ukasema ni mkoa x kumbe ni Arusha so ni bora ubakie dar kulko kuja arusha
Kama nyumba haipo dsm uzaaaaMimi ni baba wa watoto watatu Na mke mmoja Nina miaka 34.
Mtoto wa Kwanza ni kwa mwanamke wa Kwanza na Hawa wawili ni kwa mke niliyenae sasa ambaye naishi nae hapa nyumbani.
Nimezaliwa Na kukulia mkoa X, nimekuja Dar kutafuta Maisha lakini mji huu unahitaji uwekezaji Na connection Za biashara.
Nina nyumba yenye uwanja mkubwa, nimeijenga baada ya kwenda South Africa lakini Kwa sasa Maisha ni magumu Sana South Africa kwahiyo nikachukuwa jukumu la kurudi nyumbani.
Nilianzisha biashara ya Duka la spear za pikipiki mkoa niliozaliwa lakini Ile biashara ilikuja kufa kabisa nikaamua kuuza ili nipate Kodi ya kuja kuanza Maisha Dar es salaam.
Nimepata rafiki ambaye yeye anauza magari yake kwahiyo Mimi nikaanza Kazi ya udalali WA kuuza magari lakini Sina uzoefu hii Kazi ya udalali WA magari.
Maamuzi yangu Ni kuuza nyumba Na kuondoka mkoa X kabisa na pesa ambayo nitaipata natumia hili tobo la huyu rafiki yangu kwajili ya kununua MAGARI japani Na kuuza hapa nyumbani.
Naombe ushauri wenu wadau maamuzi ya kuuza nyumba Ni mazuri kweli ama hapana.?
Kwa sasa naishi Dar es salaam lakini nyumba zipo mkoa X.Kwann usifanye mpango ukaongea na watu wa bank wakakupa mkopo mkubwa kuzid thaman ya nyumba yako
Lakin la pili ulichonacho ndo chako unaweza uza nyumba afu ukafika mkoa mambo yakagoma
Tatu na mwisho kua mkwel eleza ni mkoa gan unataka enda yaweza saidia wadau kujua ni ushauri gan wanakupa sabu unaweza ukasema ni mkoa x kumbe ni Arusha so ni bora ubakie dar kulko kuja arusha
Niilipie wapiKijana jitahidi sana uweze kulipia pesa ya Ardhi au nyumba kabisa.
Kujenga sio lelemama.
Nyumba ikiwa haiingizi pesa haiwezi kuwa asset bali liabilityassets kama nyumba hazi uzwi ndugu, vipi ukifungua biashara ikafeli utafanya nini? kama maisha magumu mjini tafuta poli ukajipange upya maisha sio lazima kuishi mijini pangisha hiyo nyumba kisha upotee
Uzi ufungwe Kwa comment hii 🙏Unauza Asset unaenda kununua liability.
nyumba ina hati?Mimi ni baba wa watoto watatu Na mke mmoja Nina miaka 34.
Mtoto wa Kwanza ni kwa mwanamke wa Kwanza na Hawa wawili ni kwa mke niliyenae sasa ambaye naishi nae hapa nyumbani.
Nimezaliwa Na kukulia mkoa X, nimekuja Dar kutafuta Maisha lakini mji huu unahitaji uwekezaji Na connection Za biashara.
Nina nyumba yenye uwanja mkubwa, nimeijenga baada ya kwenda South Africa lakini Kwa sasa Maisha ni magumu Sana South Africa kwahiyo nikachukuwa jukumu la kurudi nyumbani.
Nilianzisha biashara ya Duka la spear za pikipiki mkoa niliozaliwa lakini Ile biashara ilikuja kufa kabisa nikaamua kuuza ili nipate Kodi ya kuja kuanza Maisha Dar es salaam.
Nimepata rafiki ambaye yeye anauza magari yake kwahiyo Mimi nikaanza Kazi ya udalali WA kuuza magari lakini Sina uzoefu hii Kazi ya udalali WA magari.
Maamuzi yangu Ni kuuza nyumba Na kuondoka mkoa X kabisa na pesa ambayo nitaipata natumia hili tobo la huyu rafiki yangu kwajili ya kununua MAGARI japani Na kuuza hapa nyumbani.
Naombe ushauri wenu wadau maamuzi ya kuuza nyumba Ni mazuri kweli ama hapana.?
Kwahiyo unaweza ifananisha na gari!?Nyumba ikiwa haiingizi pesa haiwezi kuwa asset bali liability
Gari ya kutembelea ama ya biashara?Kwahiyo unaweza ifananisha na gari!?
Yoyote tu ,unaweza fananisha thamani ya ardhi na gari!?Gari ya kutembelea ama ya biashara?
Mie nataka unambie thamani ya hio nyumba kabla ya kutoa ushauri wowote. Ila kwa kifupi tu usiogope maisha uza tu hio nyumba.Mimi ni baba wa watoto watatu Na mke mmoja Nina miaka 34.