Naombeni ushauri: Kwa hali hii maamuzi ya kuuza nyumba yatakuwa sahihi?

Haifai kabisa usiuze mwaya jaribu kutafuta njia ingine why usiwe dalali tu wa magari ya mwenzako uwe unakusanya hela mpaka upate ya mzigo
Dada angu siuzi Tena
Nimeona hii changamoto ambayo ninayo Sasa nitaikabili Tu kivyovyote Na itapiata.

Huu Ni wakati wangu wa KATIKATI yaani nisonge mbele kwa kuvuka huu mstari au nishindwe nirudi nyuma.

Kwahiyo nimeona Ni Bora iwe machozi damu Na jasho lakini nivuke huu mstari.

Nimeumbwa MWANAUME kwahiyo inabidi nisifelishe kizazi changu yaani watoto wangu wasije kusikia baba yanu aliuza nyumba Kwa ugumu wa maisha nataka wasikie baba yenu alitaka kuuza nyumba zake Kwa ugumu wa maisha lakini alikomaa na hadi Leo hii nyumba zipo Na nyingine anazo huko Dar es salaam mlipo kulia.Mana hapa mkoani mliondoka mkiwa bado wadogo.
 
Usiuze mwaya
 
Kwann usifanye mpango ukaongea na watu wa bank wakakupa mkopo mkubwa kuzid thaman ya nyumba yako

Lakin la pili ulichonacho ndo chako unaweza uza nyumba afu ukafika mkoa mambo yakagoma

Tatu na mwisho kua mkwel eleza ni mkoa gan unataka enda yaweza saidia wadau kujua ni ushauri gan wanakupa sabu unaweza ukasema ni mkoa x kumbe ni Arusha so ni bora ubakie dar kulko kuja arusha
 
Hapana it's the same and it is a bad idea
 
Kama nyumba haipo dsm uzaaaa
 
Kwa sasa naishi Dar es salaam lakini nyumba zipo mkoa X.

Yaani nimetoka huko nimekuja Dar kutafuta
 
nyumba ina hati?

ichukulie mkopo bank ifanye kua lodge umalaya wa watu unalipa mikopo yako ya bank ukiendelea na udalali wako mkuu

lakini ushauri sio lazima ukiona vipi uza nyumba yako
 
Mie nataka unambie thamani ya hio nyumba kabla ya kutoa ushauri wowote. Ila kwa kifupi tu usiogope maisha uza tu hio nyumba.
KUMBUKA: Ukijenga nyumba na wewe ukaishi humo na haikuingizii chochote, hio ni LIABILITY SIO ASSET.
Kama hio nyumba ina thamani ya kuanzia million 50 na kuendelea iuze halafu kupitia bank yako nunua "bonds" za BOT kama million 40 hivi ili kila mwezi uwe unapata magao wako wa hata laki 5 na hio 10m ilobaki fanya hio biashara huku ukiwa na uhakika wa kipato toka BOT. Maisha ni ku take risk usiogope bado uko kijana 34 years old.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…