Naombeni ushauri: Kwa hali hii maamuzi ya kuuza nyumba yatakuwa sahihi?

Mie nataka unambie thamani ya hio nyumba kabla ya kutoa ushauri wowote. Ila kwa kifupi tu usiogope maisha uza tu hio nyumba.
KUMBUKA: Ukijenga nyumba na wewe ukaishi humo na haikuingizii chochote, hio ni LIABILITY SIO ASSET.
Kama hio nyumba ina thamani ya kuanzia million 50 na kuendelea iuze halafu kupitia bank yako nunua "bonds" za BOT kama million 40 hivi ili kila mwezi uwe unapata magao wako wa hata laki 5 na hio 10m ilobaki fanya hio biashara huku ukiwa na uhakika wa kipato toka BOT. Maisha ni ku take risk usiogope bado uko kijana 34 years old.
Ni zaidi ya milion 50 lakini siuzi Tena mkuu
 
Mimi ni baba wa watoto watatu Na mke mmoja Nina miaka 34.

Mtoto wa Kwanza ni kwa mwanamke wa Kwanza na Hawa wawili ni kwa mke niliyenae sasa ambaye naishi nae hapa nyumbani.

Nimezaliwa Na kukulia mkoa X, nimekuja Dar kutafuta Maisha lakini mji huu unahitaji uwekezaji Na connection Za biashara.

Nina nyumba yenye uwanja mkubwa, nimeijenga baada ya kwenda South Africa lakini Kwa sasa Maisha ni magumu Sana South Africa kwahiyo nikachukuwa jukumu la kurudi nyumbani.

Nilianzisha biashara ya Duka la spear za pikipiki mkoa niliozaliwa lakini Ile biashara ilikuja kufa kabisa nikaamua kuuza ili nipate Kodi ya kuja kuanza Maisha Dar es salaam.

Nimepata rafiki ambaye yeye anauza magari yake kwahiyo Mimi nikaanza Kazi ya udalali WA kuuza magari lakini Sina uzoefu hii Kazi ya udalali WA magari.

Maamuzi yangu Ni kuuza nyumba Na kuondoka mkoa X kabisa na pesa ambayo nitaipata natumia hili tobo la huyu rafiki yangu kwajili ya kununua MAGARI japani Na kuuza hapa nyumbani.

Naombe ushauri wenu wadau maamuzi ya kuuza nyumba Ni mazuri kweli ama hapana.?
USA
 
Unaanzaje kuuza nyumba kwa mfano, pambana kwa namna nyingine usifikirie kuuza nyumba. Kama una uhakika na hiyo biashara unayotaka kufanya, kachukie mkopo bank
 
Back
Top Bottom