Mkimuyangu
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 1,054
- 1,947
Iko hivi mimi ni mtoto wa katikati katika familia yetu, baba alirithi mali kutoka kwa mababu zetu, ingawa baadhi ya mababu zetu wengine walivuja sana mali za marehemu babu, ingawa wengine walishakufa na wawili wangali hai.
Baba yangu mzazi na mimi yeye alikuwa na uchungu sana na mali za baba yake yaani babu yangu na mimi, bahati mbaya kafariki mwaka juzi katika mazingira ya kutatanisha.
Sasa kikao cha familia kilimuamini mama ili aweze kushikilia mali za ukoo, mpaka atakapopatikana mrithi kamili. Kuja kustuka nahisi mama anauza mali za familia akishirikiana na madalali hapa mtaani, na kibaya mama siyo kabila moja na baba na wala siyo wa huu mkoa.
Tunahisi akishamaliza kuuza atatutelekeza arudi kwao zenji atuache mikono mitupu.
Naombeni ushauri tufanye nini?