Naombeni ushauri: Mama wa kambo anauza mali za baba

Iko hivi mimi ni mtoto wa katikati katika familia yetu, baba alirithi mali kutoka kwa mababu zetu, ingawa baadhi ya mababu zetu wengine walivuja sana mali za marehemu babu, ingawa wengine walishakufa na wawili wangali hai.

Baba yangu mzazi na mimi yeye alikuwa na uchungu sana na mali za baba yake yaani babu yangu na mimi, bahati mbaya kafariki mwaka juzi katika mazingira ya kutatanisha.

Sasa kikao cha familia kilimuamini mama ili aweze kushikilia mali za ukoo, mpaka atakapopatikana mrithi kamili. Kuja kustuka nahisi mama anauza mali za familia akishirikiana na madalali hapa mtaani, na kibaya mama siyo kabila moja na baba na wala siyo wa huu mkoa.

Tunahisi akishamaliza kuuza atatutelekeza arudi kwao zenji atuache mikono mitupu.

Naombeni ushauri tufanye nini?
code nyepesi hii nimeinyaka.
 
Sidhani kama wengi mmemuelewa huyu mpuzi, acha kudhalirisha Raisi wa nchi unalo litafuta utalipata.
 
Aliyekwambia mimi naongelea mambo ya inchi nani?au wewe ndiye unayedalalia mali zetu na mama wa kambo?
Kama unajiamini sana na hi jf utaumia peke hao wanao kupa likes hutawaona popote.
 
Iko hivi mimi ni mtoto wa katikati katika familia yetu, baba alirithi mali kutoka kwa mababu zetu, ingawa baadhi ya mababu zetu wengine walivuja sana mali za marehemu babu, ingawa wengine walishakufa na wawili wangali hai.

Baba yangu mzazi na mimi yeye alikuwa na uchungu sana na mali za baba yake yaani babu yangu na mimi, bahati mbaya kafariki mwaka juzi katika mazingira ya kutatanisha.

Sasa kikao cha familia kilimuamini mama ili aweze kushikilia mali za ukoo, mpaka atakapopatikana mrithi kamili. Kuja kustuka nahisi mama anauza mali za familia akishirikiana na madalali hapa mtaani, na kibaya mama siyo kabila moja na baba na wala siyo wa huu mkoa.

Tunahisi akishamaliza kuuza atatutelekeza arudi kwao zenji atuache mikono mitupu.

Naombeni ushauri tufanye nini?
Wewe tulia tuli kama maji mtungini. Hizo mali zilikuwa za babako na huyo mamako wa jambo hata kama hakuzitafuta lkn ameshiriki ktk kuzitunza, hivyo ni zake pia.

Wewe huhusiki hata kwa chembe moja. Mwache mamako wa kambo ajinafasi na mali za mumewe. Nenda kapanbane kutafuta mali zako.
 
Iko hivi mimi ni mtoto wa katikati katika familia yetu, baba alirithi mali kutoka kwa mababu zetu, ingawa baadhi ya mababu zetu wengine walivuja sana mali za marehemu babu, ingawa wengine walishakufa na wawili wangali hai.

Baba yangu mzazi na mimi yeye alikuwa na uchungu sana na mali za baba yake yaani babu yangu na mimi, bahati mbaya kafariki mwaka juzi katika mazingira ya kutatanisha.

Sasa kikao cha familia kilimuamini mama ili aweze kushikilia mali za ukoo, mpaka atakapopatikana mrithi kamili. Kuja kustuka nahisi mama anauza mali za familia akishirikiana na madalali hapa mtaani, na kibaya mama siyo kabila moja na baba na wala siyo wa huu mkoa.

Tunahisi akishamaliza kuuza atatutelekeza arudi kwao zenji atuache mikono mitupu.

Naombeni ushauri tufanye nini?
wawili walisha kufa wawili wako hai

urithi

mama wa kambo

Zenji

>dipiiiiweding

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
Mama wa kambo wengi wao huwa wako kwenye familia zetu kimkakati.

Unatakiwa uwe na uwezo wa hali ya juu kuzisoma saikorojia zao, na wengi wao wakiaminiwa huwa wanazivuruga familia kwa kuleta migogoro ya hapa na pale ili familia isiwe na umoja wa sababu wanajuwa familia ikiwa na umoja yeye hana chake pale refer familia ya mengi.

Yule mama alikuwa haelewani na watoto wakubwa wa marehemu mengi toka kitambo na sio kwamba wale watoto wa mengi walikuwa hawampendi mama yao wa kambo la hasha!

Ni yeye ndie alikuwa akiingiza migogoro ya hapa na pale ili kuivuruga familia isiwe kitu kimoja.

Unachotakiwa ni kuishi nae kimkakati na kwa tahadhari zaidi kwa sababu akigundua umejua mambo yake hachelewi kukumaliza kwa style yoyote, anaweza hata kukutengenezea kesi uende jela ili upotee huko kuwa makini kijana
Mkuu, ebu fungua code punguza povu...🤣
 
Huo muda umekaa hapa unaandika haya mambo ungeshafika kwa mwenyekiti wa mtaa, kituo cha polisi na ngazi inayofuata.
Tatizo mtoto hana namna ya kufanya maana mama tayari ameuza mali za uruthi akishirikiana na kaka yake ambae ni mjomba ya kijana..🤣
 
pia usisahau kama ni ardhi kuwekea caveat hizo nyumba/ardhi.

Kimbia kwa mwanasheria leo au kesho asubuhi. la sivyo.
Tayari kuna wanasheria nguli ambao ni wajomba halali wa kijana wamesha fungua kesi mahakamani, ila naskia mmoja juzi ametishiwa kudedishwa...😂
 
Iko hivi mimi ni mtoto wa katikati katika familia yetu, baba alirithi mali kutoka kwa mababu zetu, ingawa baadhi ya mababu zetu wengine walivuja sana mali za marehemu babu, ingawa wengine walishakufa na wawili wangali hai.

Baba yangu mzazi na mimi yeye alikuwa na uchungu sana na mali za baba yake yaani babu yangu na mimi, bahati mbaya kafariki mwaka juzi katika mazingira ya kutatanisha.

Sasa kikao cha familia kilimuamini mama ili aweze kushikilia mali za ukoo, mpaka atakapopatikana mrithi kamili. Kuja kustuka nahisi mama anauza mali za familia akishirikiana na madalali hapa mtaani, na kibaya mama siyo kabila moja na baba na wala siyo wa huu mkoa.

Tunahisi akishamaliza kuuza atatutelekeza arudi kwao zenji atuache mikono mitupu.

Naombeni ushauri tufanye nini?
kaongee na baba yako mkubwa yule wa Msoga anapenda sana safari za ulaya ni mjuzi wa mambo mengi
 
Back
Top Bottom