Naombeni ushauri: Mama wa kambo anauza mali za baba

code nyepesi hii nimeinyaka.
 
Sidhani kama wengi mmemuelewa huyu mpuzi, acha kudhalirisha Raisi wa nchi unalo litafuta utalipata.
 
Aliyekwambia mimi naongelea mambo ya inchi nani?au wewe ndiye unayedalalia mali zetu na mama wa kambo?
Kama unajiamini sana na hi jf utaumia peke hao wanao kupa likes hutawaona popote.
 
Wewe tulia tuli kama maji mtungini. Hizo mali zilikuwa za babako na huyo mamako wa jambo hata kama hakuzitafuta lkn ameshiriki ktk kuzitunza, hivyo ni zake pia.

Wewe huhusiki hata kwa chembe moja. Mwache mamako wa kambo ajinafasi na mali za mumewe. Nenda kapanbane kutafuta mali zako.
 
wawili walisha kufa wawili wako hai

urithi

mama wa kambo

Zenji




>dipiiiiweding

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣🤣 dah watu wana mambo.... tu code tudogo wanashindwa kung'amua
Hata mimi si ndio nashangaa!!
Eti wanamshauri aende Polisi!
Polisi wanahusika nini/vipi na mkataba wa mauzo ya ardhi ya bandari??? Polisi wala haihusiki na kesi za mauzo ya ardhi.
 
Mkuu, ebu fungua code punguza povu...🤣
 
Huo muda umekaa hapa unaandika haya mambo ungeshafika kwa mwenyekiti wa mtaa, kituo cha polisi na ngazi inayofuata.
Tatizo mtoto hana namna ya kufanya maana mama tayari ameuza mali za uruthi akishirikiana na kaka yake ambae ni mjomba ya kijana..🤣
 
pia usisahau kama ni ardhi kuwekea caveat hizo nyumba/ardhi.

Kimbia kwa mwanasheria leo au kesho asubuhi. la sivyo.
Tayari kuna wanasheria nguli ambao ni wajomba halali wa kijana wamesha fungua kesi mahakamani, ila naskia mmoja juzi ametishiwa kudedishwa...😂
 
kaongee na baba yako mkubwa yule wa Msoga anapenda sana safari za ulaya ni mjuzi wa mambo mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…