Ushauri mke wangu anataka kuondoka kisa nimezalia kwa mwanamke mwingine .Sasa tumebahatika kujenga kibanda na tuna duka sasa anataka tugawame.Asante kwa ku-share nasi.nina maswali mawili kabla yakusema lolote..
1: ulichepuka kupata huyo mtoto kwa mwanamke mwingine au ilikua kabla ya ndoa?
2: unataka wana-Jf tukusaidie nini?
Pole sana mkuu, tumia busara kuzungumza na mkeo, you know her better than anyone, jishushe na ukiri makosa, tafuteni namna bora ya kulimaliza hili ikiwa ni pamoja na namna ya wewe kumtunza huyo mtoto pasipo kuendeleza mahusiano na mama yake
Ni mke wangu wa ndoa na tuna watoto wawili wa kwwnza 4 na wapil 1na miez sita sasa mke wangy hataki kunielewa.Unatakiwa uijue kwanza mizania yako,
Yupi Ni ana umuhimu zaidi Kati ya uyo mwanao na uyo mkeo.
Kish maamuzi yako,
Yazingatie zaidi maslahi ya kipaumbele chako Kati ya hivyo viwili.
Mkuu, kila mmoja ana umuhimu kwa uzito wake, cha msingi jamaa lazima ahakikishe analinda ndoa yake maana amemkosea mke kwa kumsaliti, lazima ajishushe na atumie busara kuzungumza na mke, kumbuka ana watoto wawili na mke wa ndoaUnatakiwa uijue kwanza mizania yako,
Yupi Ni ana umuhimu zaidi Kati ya uyo mwanao na uyo mkeo.
Kish maamuzi yako,
Yazingatie zaidi maslahi ya kipaumbele chako Kati ya hivyo viwili.
Sio rahisi akuelewe mkuu, hebu jiweke kwenyw viatu vya mkeo, mtu amekusaliti mpaka na mtoto juu, mpe muda tu ataponya maumivu na kusameheNi mke wangu wa ndoa na tuna watoto wawili wa kwwnza 4 na wapil 1na miez sita sasa mke wangy hataki kunielewa.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Usihofu,Ushauri mke wangu anataka kuondoka.kisa nimezalia kwa mwanamke mwingine .Sasa tumebahatika kujenga kibanda na tuna duka sasa anataka tugawame.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Mkuu pole sana kwa hilo. Najua kweli utakua katika wakati mgumu kufanya maamuzi, kiukweli kabisa mkuu umemkosea mke wako kwa kuzaa nje ya ndoa na wakati yeye alikua na uwezo huo pia.so cha kufanya hapo niUshauri mke wangu anataka kuondoka.kisa nimezalia kwa mwanamke mwingine .Sasa tumebahatika kujenga kibanda na tuna duka sasa anataka tugawame.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Tunapozungumza ndoa mama ni kile kiapo, kama ingekua ni rahisi namna hiyo watu wangekua wanazaa tu na kusingekua na sababu ya kuwa na ndoa, ndoa ni familia, kumbuka ana watoto wawili na mke wa ndoa, how do you feel hao watoto wakaenda kulelewa na mzazi mmoja kwa sababu ya usaliti wa mume?Acha aende mlete huyo Mama mtoto mwingine ndani maisha yaendelee.kwani yeye ana k ya gold ama??
Watu wasizae kwanini?? Kisa yeye kaolewa.yaani ufe na watoto wawili mwanaume mzima ungeenda kujibu Nini kwa mola wako? Si Ni matumizi mabaya ya. Uumbaji au??
Umeongea point,Mkuu, kila mmoja ana umuhimu kwa uzito wake, cha msingi jamaa lazima ahakikishe analinda ndoa yake maana amemkosea mke kwa kumsaliti, lazima ajishushe na atumie busara kuzungumza na mke, kumbuka ana watoto wawili na mke wa ndoa
Huyo mke amekosa busara, ujasiri wa kuanza kuzungumzia mali anaupata wapi ilhali wana watoto, mwisho wa siku warithi wa hizo mali ni watoto sio mke, kama jamaa anaona inaleta shida ni heri akatafuta ushauri wa kisheria ikiwezekana aandike kwamba mali zake zote ni za watoto, wazazi watawndelea kusimamia mpaka watoto watakapojitambuaUmeongea point,
BUSARA lazima itawale, na lazima ajishushe.
Ila inabidi awe na tahadhari sana, maana mwanamke keshaanza kutishia wagawane Mali.
Ata Kama kweli mwanaume kakosea, haimpi uhalali mwanamke kuanza kuongelea habari za kugawana Mali
Kuna wapuuzi wamemjaza kichwa, wanawake Kwenye Ndoa wanarubuniwa sana hasa zinapotokea sintofahamu Kama hizi Kwenye ndoaHuyo mke amekosa busara, ujasiri wa kuanza kuzungumzia mali anaupata wapi ilhali wana watoto, mwisho wa siku warithi wa hizo mali ni watoto sio mke, kama jamaa anaona inaleta shida ni heri akatafuta ushauri wa kisheria ikiwezekana aandike kwamba mali zake zote ni za watoto, wazazi watawndelea kusimamia mpaka watoto watakapojitambua
Huyo mwanamke hakuja kwenye ndoa kwa kumaanisha alikuja kujaribu ndoa, eti anataka kuondoka kwasababu kama hii kweli? Kwani yeye wakati anaolewa alikutwa kaitunza BIKIRA yake??Huyo mwanamke ni mjinga sana anahitaji ushauri nasaha wa ndoa na maisha
Kwani wewe hujawahi kugongwa na wanaume wengine??Huyo mwanamke yuko sahihi kabisa.
Kuishi na Mwanaume asiye mwaminifu ni Bora kuachana ijulikane moja.
Yani mtu kaona afanye umalaya hadi aweke na alama ya kudumu?
Hapana aisee!