kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,175
Mchukue mukae nae kwanza kwenu asiwe na Mawazo ya home kwake.au wote muko ktk eneo Moja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajakataa, the issue is, amchukue mkewe akaishi naye kwake, na sio kukaa kwenye mji wa mwanamke.Mkuu achana nae ,huyo bi mkubwa ako, huko mjini unakopanga kumfungia ,walah atakudhalilisha makusudi ,atatongoza vijana wadogo wamtoe nyege. na ukienda kichwa kichwa atakuja kukwambia neno gumu hutaamini!! bimkubwa ako anapenda kwichikwichi[emoji23]. muache mzee wa watu nae ajitoleage maumivu ,si bola amempata mzee mwenzie ,je angewngua mikononi mwa vijana!!
ni ngumu mkuu,bi mkubwa Kama kamuelewa huyo mzee.mzee atakuwa anakuja kulala tu hapo kwa bi mkubwa,kwani watakuwa wanamlinda anaingiza Nani!? Ila ajaribu kumwambia ,Ila ikishindikana akubali matokeo kuhusu uamuz wa bi mkubwa.Hajakataa, the issue is, amchukue mkewe akaishi naye kwake, na sio kukaa kwenye mji wa mwanamke.
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Mkuu, hebu fikiria huyo ndiyo mama yako wewe, utatoa ushauri huo? Nami naona hata KUCHEPUKA tu, na mimi mwanaye nikijua, nitajisikia aibu sana, nikizingatia huo umri wa kuhangaika na wajukuu!Mkuu acha mama aolewe Kama uyo mzee atakuja kuishi hapo home saw, ishi nao tu Kama wazazi maana ukianza kumpangia bmkubwa maisha utakuwa unamkosea chakufanya toa msaada uliondani ya uwezo wako
Wapo sawa maana kuna wengine kila wanavyozeeka ndio muwasho unazidi kuwa mkubwa.Si ndio sisi hao waswahili
Huyo mama ana matatizo sio bure!Wakati watu wengine wakiendelea kukushauri...
Mimi najaribu tu kufikiri miezi 8 ya mwanamke wa miaka 68 kuondokewa na mume, tayari yupo kwenye harakati za kupata kifaa kipya [emoji848][emoji848]...
Miaka 68, miezi 8 ya ujane, kifaa kipya [emoji56][emoji56]...mmmh!!! hawa kama walikuwa hawakulani wakiwa vijana, usikute mzee wako kalazwa na wakulungwa ili watu waje kula pesa za watoto [emoji3061][emoji3061]
Hapo inaonesha mzee marioo na huyu mama walikua wanakulana kitambo sana sabab umefiwa na mume alaf baada ya miezi nane unavuta mwanaume mwingine ni jambo la kufikirishaHalafu ana 68! Ana haki yake lakini mambo mengine yanafikirisha sana. Ningekuwa nampa ushauri, ningemshauri akae na wanae na wajukuu basi. Mzee wangu alifariki akatuacha na mama. Mama akiwa na miaka 47 tu. Mama hakuolewa tena. Alikaa nasi wanae mpaka mwisho wake. Wala sikuwahi kumsikia hata na mtu wa pembeni. Mama ubarikiwe sana.
Hii hathi ya kutunga au uhalisia?Habari ndugu zangu. Naombeni ushauri wenu juu ya mada tajwa.
Mzee wetu amefariki miezi 8 iliyopita baada ya maisha yake yote kuwa katika ndoa na mama yetu. Mama Sasa ana umri wa miaka 68. Kwa kipindi chote tangu sisi watoto wake tuanze kujitegemea tumekuwa tukijitahidi kuwawekea mazingira mazuri ya wazee wetu.
Pamoja na kuwajengea nyumba yenye hadhi na ya kisasa lakini tumehakikisha wazee wetu wanaishi maisha standard kuanzia chakula na mahitaji yote kiasi kwamba familia ya mzee wetu imetazamwa kama familia yenye nafuu pale kijijini.
Juzi ndugu zangu waliopo kijijni wamenitaarifu kwamba kajitokeza mzee anasema anataka kumuoa bi mkubwa. Nikauliza akishamuoa ataondokanae kwa maana bi mkubwa atahama mji tuliomjengea na mzee? Wakaniambia hapana inavyoonyesha huyu mzee kafuata maisha mseleleko.
Binafsi nimejiuliza je ni sahihi mama alete mwanaume kwenye kitanda alicholala na mzee wetu? Je ni kweli nyumba tuliowajengea wazee wetu mama atumie kuishi na mzee mwingine? Alifanyalo mama sio kutufedhehesha sisi watoto tunaohakikisha anapatiwa chochote akitakacho?
Uamuzi wangu nimepanga kuvuruga mpango wa bi mkubwa. Nataka nimwite nimuombe nije niishi nae mjini kwa maisha yake yote ili nizuie mipango yake na akikataa nimepanga sitomuhudumia chochote maana Mimi ndie mwanawe mpendwa.
Je, ndugu uamuzi wangu huu nitakuwa namkosea mama yangu? Au nimwachie tu ahangaike na maisha yake? Kinachoumiza mzee muoaji mwenyewe kachoka mno hata ndala anazovaa ukute zina matundu nusu anagusa ardhi nusu malapa.
Naona kama bi mkubwa atatuongezea mzigo wa kuangalia watu wawili kwa maana akibaki mwenyewe inakuwa rahisi hata kumchukua wakati wowote. Ushauri wenu
Jidu La Mabambasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah Jidu la MabambasiHii hathi ya kutunga au uhalisia?
Mama 68 years, anapata mchecheto kwa mzee mwenziwe?
Mbona hesabu zinakataa!
Hilo huliwezi kama wewe ni muislamu. Mtume anasemaje katika hilo?...jibu liko hapo.
Kama ni Mkristo, mwambie point blank kuwa kuolewa baada ya baba kufa ni umalaya! Haimpi heshima. Mwambie waziwazi!