Naombeni ushauri: Nataka kumzuia mama yangu asiolewe tena baada ya baba kufariki

Maandalizi ya kifo ni kwa kila rika, hakuna rika la kifo. Wapo watu wanaishi miaka 95 na wengine 30. Kila mtu anapaswa kujiandaa, na kujiandaa huko ni pamoja na kutafuta sitara ya ndoa baadala ya kugawa uroda vichochoroni.
Jamani jamano! Unataka kusema bibi wa 68 years atawashwa mpaka akagawe uroda vichakaniπŸ™†β€β™€οΈ
 
Mhhh inaonekana huyo alikuwa mzee mwenzake toka enzi za mdingi,mapenzi gani ya fasta hivyo,huyo babu alikuwa anasubiri tu mzee atangulie ajimilikishe bi mkubwa,anyway mshaurini bimkubwa kwa umri wake ni heri angepumzika alee wajukuu zake,lkn mkiona aelewi basi mruhusuni lakini mwambieni ahame aende huko huko kwa mzee mwenzake yakimshinda atarudi tu mwenyewe
 
UTAKUA Unakosea Sana kijana,
Mwache amalizie uhai wake, maisha Ni hapa hapa duniani[emoji4]
 
Jamani jamano! Unataka kusema bibi wa 68 years atawashwa mpaka akagawe uroda vichakani[emoji2296]
Unazijua nyege au unazisikia? Subiri ufikishe miaka 70 kama utakuwa huna nyege labda uwe na kisukari au bp lkn kama mzima wa afya utarudi jf kutoa mrejesho
 
Hao wajukuu zake ndio watakuwa wanampa huduma anayopaswa kutoa mume?? Chunga ulimi wako bro
 
Hata mim nisingemuelewa kabisa, huyo mzee kashamteka bi mkubwa aidha kwa maneno au kwa madawa, 68 yrs bado anahangaikia vibabu ni aibu ukizingatia ni miezi 8 imepita toka kifo cha mumewe ni mapema mno.
Wengi umri huu wanarudia Mungu
 
Kaa na huyo bi mkubwa wako muongee friendly,atakueleza mawazo yake nawe utampa maoni yako.Kama anakupenda atakusikiliza maana wazazi wanakawaida ya kuwasikiliza watoto wao wanaowapenda.
 
Ukristo upi unakataza kuoelewa tena? Baada ya kifo cha mwenza?
Haikatazwi Nakubaliana na wewe. Lakini kwa Heshima ya mume wako na watoto wako, achana na kuolewa! Especially if you are at an advanced age! Ukia kijana ukafiwa na mume, ruksa na Heshima kuolewa
 
Hebu muheshimu mama yako kuwa na adabu
 
Muache mama afanye roho yake itulie. Cha muhimu wewe nenda mapema huko tafuta wakili na mwenyekiti wa mtaa na mashaidi. Mama akabidhi urithi kwa watoto kwa mali zilizopo, kiwepo kipengele cha kutotambua ndoa nyingine kwenye urithi wa mali zilizopo. Hiyo itakuwa njia sahihi kuliko kumkataza mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…