Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😂😂😂😂😂😂😂
nimecheka sana 😂😂😂 ki senior marioo kiranga kitamuisha, umenivunja mbavu we jamaa😀
It will work au itarudisha speed nyuma ya ndoa.
Roho mbaya hiyo kwio,.?? Kwani anayeoa ni mwanaume au mwanamke..??Acheni roho mbaya aisee ungekuwa wewe kibabu watu wanakufanyia fitini mitandaoni usimpate mywako ungefurahiiiii???kila mtu anapenda vitamu.
Alikuwa naye huyo babu, sio rahisi miezi 8 tayari mchakato wa ndoa duu! Walio na umri mdogo wenyewe waume zao huwatelekeza.lakini hawa hangaiki kihivyo.Wakati watu wengine wakiendelea kukushauri...
Mimi najaribu tu kufikiri miezi 8 ya mwanamke wa miaka 68 kuondokewa na mume, tayari yupo kwenye harakati za kupata kifaa kipya [emoji848][emoji848]...
Miaka 68, miezi 8 ya ujane, kifaa kipya [emoji56][emoji56]...mmmh!!! hawa kama walikuwa hawakulani wakiwa vijana, usikute mzee wako kalazwa na wakulungwa ili watu waje kula pesa za watoto [emoji3061][emoji3061]
Watu hawafanani yawezekana Mzee alimtunza vizuri hivyo afya yake inadaiMie Nina 53 hamu zilishaisha ye 68 anatafuta nini MUNGU wangu!
Mario kwani wanastaafu ndugu yangu. Mpaka kaburini wale wanataka mteremko. MTAJI NI KIUNO.nimecheka sana 😂😂😂 ki senior marioo kiranga kitamuisha, umenivunja mbavu we jamaa
Wewe uliweka maisha standard wazee walikuwa wanayamezea mate, kwahiyo kijana unalo, nakushauri tu kuwa hisia kuzicontrol ni ngumu inaonekana mama Yako bado anataka asukumiwe mzigo na huyo Mzee mwenzake anatakafuta unafuu wa maisha kwasababu anaona kitonga kipo nakushauri kama ulishamwelewesha mama Yako na haelewi achana nae focus kwenye mambo Yako na familia YakoHabari ndugu zangu. Naombeni ushauri wenu juu ya mada tajwa.
Mzee wetu amefariki miezi 8 iliyopita baada ya maisha yake yote kuwa katika ndoa na mama yetu. Mama Sasa ana umri wa miaka 68. Kwa kipindi chote tangu sisi watoto wake tuanze kujitegemea tumekuwa tukijitahidi kuwawekea mazingira mazuri ya wazee wetu.
Pamoja na kuwajengea nyumba yenye hadhi na ya kisasa lakini tumehakikisha wazee wetu wanaishi maisha standard kuanzia chakula na mahitaji yote kiasi kwamba familia ya mzee wetu imetazamwa kama familia yenye nafuu pale kijijini.
Juzi ndugu zangu waliopo kijijni wamenitaarifu kwamba kajitokeza mzee anasema anataka kumuoa bi mkubwa. Nikauliza akishamuoa ataondokanae kwa maana bi mkubwa atahama mji tuliomjengea na mzee? Wakaniambia hapana inavyoonyesha huyu mzee kafuata maisha mseleleko.
Binafsi nimejiuliza je ni sahihi mama alete mwanaume kwenye kitanda alicholala na mzee wetu? Je ni kweli nyumba tuliowajengea wazee wetu mama atumie kuishi na mzee mwingine? Alifanyalo mama sio kutufedhehesha sisi watoto tunaohakikisha anapatiwa chochote akitakacho?
Uamuzi wangu nimepanga kuvuruga mpango wa bi mkubwa. Nataka nimwite nimuombe nije niishi nae mjini kwa maisha yake yote ili nizuie mipango yake na akikataa nimepanga sitomuhudumia chochote maana Mimi ndie mwanawe mpendwa.
Je, ndugu uamuzi wangu huu nitakuwa namkosea mama yangu? Au nimwachie tu ahangaike na maisha yake? Kinachoumiza mzee muoaji mwenyewe kachoka mno hata ndala anazovaa ukute zina matundu nusu anagusa ardhi nusu malapa.
Naona kama bi mkubwa atatuongezea mzigo wa kuangalia watu wawili kwa maana akibaki mwenyewe inakuwa rahisi hata kumchukua wakati wowote. Ushauri wenu
Habari ndugu zangu. Naombeni ushauri wenu juu ya mada tajwa.

Usikute ndio baba wa mwandishi wa huu Uzi.Alikuwa naye huyo babu, sio rahisi miezi 8 tayari mchakato wa ndoa duu! Walio na umri mdogo wenyewe waume zao huwatelekeza.lakini hawa hangaiki kihivyo.
Haa haa haa haa mwee jamaniUsikute ndio baba wa mwandishi wa huu Uzi.
Wakimtubua mama wataletewa na Siri zisizofaa.
Waende naye taratibu.
Kata mrija wa mafuta tu.
Tunaamini muoaji lazima awe mtafutaji
Kwa hiyo ni heshima kutoolewa ila awe anamegwa kisela? Nimeshuhudia wamama wengi wajane hawaolewi ila wanamegwa kisela! Hiyo ni heshima kwa familia au uchafu? Kwa mimi kama anatulia basi atulie ukweli wa kutulia, ila kama bado anahitaji faraja ya mwanaume ni kheri akaolewaMkuu kwa umri wa mama yako hapaswi kuolewa tena pia sio busta kwa umri wake amlete marioo aje kuishi nae kwenye nyumba ya mzee wako.me baba yangu alifari mwaka 2006 kamuacha mama kwa sasa ana umri wa miaka 65 sijawai kumsikia akisema anataka kuolewa na siku nikimsikia sijui itakuwaje maana ajali kwa kila kitu kikubwa apo nikusimama kiume kama anataka kuolewa basi aende kwa huyo mwanaume na sio uyo marioo aje kwenye boma lingine wakati nae anaboma lake iyo ni mila ya wapi mkuu
Kwa thread hii nimeanza kuelewa kwanini jamaa yule alisema MWANAMKE SIO WA KUMWONEA HURUMA.Habari ndugu zangu. Naombeni ushauri wenu juu ya mada tajwa.