ufisadi no
Member
- Jun 20, 2012
- 97
- 34
Mkuu unakosea unaposema mama unampa Kila kitu. Kuna kitu kimebaki nacho atakipata kwa huyo mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si anaenda kugongwa huko halafu anarudi home mwepesi?alaf nyege atoe wapi ?
Huyu inaonekana alikuwa anachepuka tokea zamaniMiezi 8 mother anavuta jiko duuh
Huyu inaonekana alikuwa anachepuka tokea zamaniMiezi 8 mother anavuta jiko duuh
Alafu ninkomenti ya kitoto na ya kipumbavuNimefungua huu uzi moja kwa moja nikitarajia comment kama hii [emoji23][emoji23]
Huyu inaonekana alikuwa anachepuka tokea zamaniMiezi 8 mother anavuta jiko duuh
Kwani uislamu unapenda ufukara??pole mkuu sisi katika UISLAM mtoto wa kiume tunaruhusiwa hata kuozesha MAMAAKO
ni kweli kwa umri wake na ukizingatia mumewe amefariki muda si mrefu ilipaswa apumzike
lkn wewe inaonesha wasiwasi wako sio mama ni umasikini wa huyo mzee
nikuulize angetokea mtu mwenye pesa na kujiweza mwenye magari majumba na biashara zake je ungekubari aolewe ?
Sijajua point yako ipi igogondwaKwani uislamu unapenda ufukara??
Muacheni babu na penzi lake, penzi halichagui masikini au tajiri, komaeni kum'bania babu mama wa watu ajiue.Roho mbaya hiyo kwio,.?? Kwani anayeoa ni mwanaume au mwanamke..??
Ni kweli shida yangu kubwa ni heshima ya baba yetu. Naona sio sahihi kuja kuishi paleMkuu kwa umri wa mama yako hapaswi kuolewa tena pia sio busta kwa umri wake amlete marioo aje kuishi nae kwenye nyumba ya mzee wako.me baba yangu alifari mwaka 2006 kamuacha mama kwa sasa ana umri wa miaka 65 sijawai kumsikia akisema anataka kuolewa na siku nikimsikia sijui itakuwaje maana ajali kwa kila kitu kikubwa apo nikusimama kiume kama anataka kuolewa basi aende kwa huyo mwanaume na sio uyo marioo aje kwenye boma lingine wakati nae anaboma lake iyo ni mila ya wapi mkuu
Umetoa ushauri wenye hekima, kama akiolewa ahamie kwa huyo mzee asiishi nyumba aliyokuwa akiishi na mzee wao (mme wake)Pole kwa changamoto ila kiuhalisia mama anahitaji mtu wa kumpa kampani.
Tatizo ni kwamba huyo mzee anataka ahamie kwenu hili ndio linakupa ukakasi.
Mama yako ndio anae olewa so ni vema akaenda kwa mumewe na sio yeye kumleta senior marioo hapo kwenye mji wa family yenu
Hakuna penzi hapo bhana, njaa tuu kali..Muacheni babu na penzi lake, penzi halichagui masikini au tajiri, komaeni kum'bania babu mama wa watu ajiue.
Umeongea mengi lakini hapo nilipobold pazingatie sana, kwani huna nafasi ya kumpangia mzee wako vipi Aishi. Vile vile kama mzee (baba) alifariki basi mama yako anao uwezo wa kuja kuishi na huyo mwanaume atakaemuoa kwenye boma lenu kwani hapo mama yako pia ni kwake labda kama apende kuondoka kwake.Mkuu kwa umri wa mama yako hapaswi kuolewa tena pia sio busta kwa umri wake amlete marioo aje kuishi nae kwenye nyumba ya mzee wako.me baba yangu alifari mwaka 2006 kamuacha mama kwa sasa ana umri wa miaka 65 sijawai kumsikia akisema anataka kuolewa na siku nikimsikia sijui itakuwaje maana ajali kwa kila kitu kikubwa apo nikusimama kiume kama anataka kuolewa basi aende kwa huyo mwanaume na sio uyo marioo aje kwenye boma lingine wakati nae anaboma lake iyo ni mila ya wapi mkuu