Naombeni ushauri: Nataka kumzuia mama yangu asiolewe tena baada ya baba kufariki

Hilo huliwezi kama wewe ni muislamu. Mtume anasemaje katika hilo?...jibu liko hapo.

Kama ni Mkristo, mwambie point blank kuwa kuolewa baada ya baba kufa ni umalaya! Haimpi heshima. Mwambie waziwazi!
Atampa laana
 
Umechambua vyema ila hujamshauri
Kipi kifanyike sasa?
 
Mama yako ana kiu ya ngono, utamsaidia wewe? Au utamleta kwako na huyo mpenzi wako waishi hapo?
 
Happy najua angelinda heshima ya mzee. Wangeondoka kwenye mji wa mzee

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
basi wewe km mtoto wa kiume uwe mkavu na mkasi katika kusimamia hilo hata majirani na ndugu watakusuport

aolewe lakini asikae hapo shikilia msimamo huo zaidi tafuta watu wazima kuanza kufikisha hoja yako kwa mama

pamoja na yote ni mamaako hivyo chunga kauri zako utakapoamua kufikisha hilo swala
huyo ni mamaako na zaidi ameshakuwa mtu mzima sana na amefiwa na mumewe
hvyo CHUNGA KAURI zako
 
Yaani usikubali upuuzi wa mama yako. Hapo komaa hamna cha ndoa hapa wala nini...bibi wa miaka 68 anaolewa ili iwaje? Mchane live kabisa bila kupepesa macho
 
Umewaza vizuri sana kweli wewe ni mwanaume wa kweli kbsa nashauri mpigie simu ajue unajua jambo na mwambie sitakubali hilo jambo. Kuna vizee vina ndumba hatari nashauri ebu dodosa usikute alikuwa anamkula mama hata wakati baba yenu yupo hai
 
Wakati watu wengine wakiendelea kukushauri...

Mimi najaribu tu kufikiri miezi 8 ya mwanamke wa miaka 68 kuondokewa na mume, tayari yupo kwenye harakati za kupata kifaa kipya πŸ€”πŸ€”...

Miaka 68, miezi 8 ya ujane, kifaa kipya πŸ˜‡πŸ˜‡...mmmh!!! hawa kama walikuwa hawakulani wakiwa vijana, usikute mzee wako kalazwa na wakulungwa ili watu waje kula pesa za watoto πŸ₯΄πŸ₯΄
 
Sijataja na siwezi kutaja ila nimeshuhudia bint, mama, bibi wote wanagombania mabwana, bibi ukimwangalia umri.wake.huwezi kuamini kwamba anaweza kufikiria mambo hayo ila .....?


Wazaramo wengi wao hawatak kuzeeka


kwa hiyo ni wazaramo km alivyosema hapo jamaa
Sisi wazaramo hatuna mambo hayo hiyo ni hulka ya mtu
ni kama kusema wahaya ni malaya
kisa maeneo kongwe ya madanguro wapo wao mpk kuitwa kwa wahaya
 
Mleta hoja naomba nikujibu kwa misingi hii


1. Kidini : Ni dhahiri kuwa dini hairuhusu sisi kumuaswi Mungu
2. Ndoa : Ndoa maana yake mume anamtolea mahari mke na kumuoa kisha kumhudumia kwa maana mume ajue majukumu yake juu ya mke.


Sasa basi
Huyu mume hana sifa za kumuoa huyu mama unless waoane kisha amtoe kwenye mji wake
 
kuna mchanganyiko wa hisia hapo,lakini kikubwa ni utamaduni wetu wa kuona kifo na mapenzi ni vitu vya ajabu sana

tangu tunakuzwa tunaaminishwa mapenzi ni ujinga wakati ndio yanarun dunia

mwache mama aolewe,endelea kuwajibika kwa nafasi yako kwa mzazi wako mambo yake ya mapenzi mwachie yeye mwenyewe kama unapenda aendelee kuishi muda mrefu uendelee kuenjoy uwepo wake

watu huwa wanamuona diamond mjinga lakini katika suala la mama yake amefanya vizuri sana

kuliko kumuacha awe anatangatanga heri aolewe kama anahisi bado anao huo uwezo wa kuwajibikia ndoa,huyo mzee mwache aje hapo wewe endelea na kazi zako ukikumbuka amri ya nne ya Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…