multmandalin
JF-Expert Member
- Sep 8, 2012
- 2,034
- 577
Usichanganye binadamu na myama, kwa binadamu sex starehe, uzazi ni asilimia ndogo sana! Kwa mnyama sex ni uzaziUmalaya tu hakuna kingine
Sex imewekwa for reproduction purpose but mmeifanya kuwa starehe
Huyo mzee anaolewa kutafuta Nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani huyu mrembo 68 years anataka nini? Au mzee huna watoto wa kumkeep bize bibi? Nashauri mhamishie mjini aje kucheza na wajukuu. Huyo babu/ mchumba ni opportunist tuu anataka mtelemko. Ila pia bibi aambiwe ukweli akitaka kuolewa akukabidhi funguo. Tena mwambie mta-msend off kabisa ajue kwenu kaondoka
Sasa kwa mfano ikitokea na maza kavuta ina maana huyo mzee wake atabaki hapo nyumbani analelewa au ataondoka??Pole kwa changamoto ila kiuhalisia mama anahitaji mtu wa kumpa kampani
Tatizo ni kwamba huyo mzee anataka ahamie kwenu hili ndio linakupa ukakasi
Mama yako ndio anae olewa so ni vema akaenda kwa mumewe na sio yeye kumleta senior marioo hapo kwenye mji wa family yenu
Si kila mzee ni huyo aliyemuoa bibi yako.Bibi yangu kaolewa akiwa na miaka 50 na kitu na mzee mwenzie.
Bibi alipofariki mama zangu wadogo na wajomba wakamwambia ukweli Yule baba yao.
Mama kaondoka na wewe Safari yako imeishia hapa.
Kwa kuwa nyumba kaikuta imeshajengwa.
Ila kwa kuwa wewe kichwani ni MATOPE huyo baba anaweza kukudhulumu
Hapo ndio tatizoo huja na senior marioo anamkakati wake huyoSasa kwa mfano ikitokea na maza kavuta ina maana huyo mzee wake atabaki hapo nyumbani analelewa au ataondoka??
Good Question.... Clap Clap akijibu niiteSasa kwa mfano ikitokea na maza kavuta ina maana huyo mzee wake atabaki hapo nyumbani analelewa au ataondoka??
Maandalizi ya kifo ni kwa kila rika, hakuna rika la kifo. Wapo watu wanaishi miaka 95 na wengine 30. Kila mtu anapaswa kujiandaa, na kujiandaa huko ni pamoja na kutafuta sitara ya ndoa baadala ya kugawa uroda vichochoroni.Angekua Ni mtu wa imani
Asingepata huo muda wa kufikiria kuolewa
Kwa huo umri kwanini asianze kujitayarishia mazingira mazuri ya huko aendako?.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akisoma hii comment hasa hasa hiyo namba 4 lazima ataomba maji ya kunywa
Mtoa mada haya [emoji115][emoji115] ndiyo majibu uliyoyataka, usithubutu kutoa comment za makasiriko tafadhali.alaf nyege atoe wapi ?
Kama baba ndiye angebaki na anaoa? Hebu niambie ungefanyaje?Kuolewa ruhusa ila huyo mume asihamie kwenye hiyo nyumba ya familia yenu, bali wakaishi wote nyumbani kwa huyo mume
Very good. Simple solution!Pole kwa changamoto ila kiuhalisia mama anahitaji mtu wa kumpa kampani
Tatizo ni kwamba huyo mzee anataka ahamie kwenu hili ndio linakupa ukakasi
Mama yako ndio anae olewa so ni vema akaenda kwa mumewe na sio yeye kumleta senior marioo hapo kwenye mji wa family yenu
Senior marioo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole kwa changamoto ila kiuhalisia mama anahitaji mtu wa kumpa kampani
Tatizo ni kwamba huyo mzee anataka ahamie kwenu hili ndio linakupa ukakasi
Mama yako ndio anae olewa so ni vema akaenda kwa mumewe na sio yeye kumleta senior marioo hapo kwenye mji wa family yenu