Cetshwayo Kampande
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,295
- 2,973
Utembee na mafuta,machawa wenzako Huwa wanaliwa.pendeni kitonga tuMimi nitakuwa chawa wako tufurahie maisha tena apa apa bongo tutazunguka bongo yote kila mkoa sisi ndio madon.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utembee na mafuta,machawa wenzako Huwa wanaliwa.pendeni kitonga tuMimi nitakuwa chawa wako tufurahie maisha tena apa apa bongo tutazunguka bongo yote kila mkoa sisi ndio madon.
Fanya haraka tena chap kwa upesi usichelewe zaidiSina mali nyingi ila nashukuru Nina nyumba kadha wa kadha, viwanja , mashamba na mifugo kijijini kwetu.
Watoto wangu wanasoma na watamaliza bila shaka. Nimetafakari haya maisha hayana garantii naweza kufa saa yeyote je kwanini nisianze kula mali zangu taratibu kabla sijafa? Naombeni ushauri.
Urithi wa watoto ni elimu ni kauli ya wazazi wavivu, moja ya kauli za kimaskini. Watu wa jamii wa asia wangekuw ana mindset hizo wasingefika hapaSina mali nyingi ila nashukuru Nina nyumba kadha wa kadha, viwanja , mashamba na mifugo kijijini kwetu.
Watoto wangu wanasoma na watamaliza bila shaka. Nimetafakari haya maisha hayana garantii naweza kufa saa yeyote je kwanini nisianze kula mali zangu taratibu kabla sijafa? Naombeni ushauri.
Sehemu mbalimbali dar , Dodoma na kilimanjaroViwanja vipo wapi mkuu tununue?
Tafuta mali zako na wewe acha makasirikoMizazi kama hii ni ya kutoa kafara tu.
Qmmk zako
Simuulizi maana najua atakataaMuulize mkeo
Hapo sasa yani ni upumbavu wa kiwango cha sgr....Na hii ndio sababu kubwa kwanini ngozi nyeupe inatuzidi mbali, sisi ni wabinafsi sana tunataka tunapopotea kwenye uso wa dunia basi tupotee na kila kitu chetu tulichofanikiwa kuwa nacho.
Hii ni roho ya kuendeleza umasikini kizazi hadi kizazi, kuna hasara gani wanao, wajukuu, wakinufaika na matunda aliyopanda baba/babu yao?
Dah umenichekesha sana na hii comment 😂👆Hakuna heshima yenye kumbukumbu na ya kudumu kama heshima ya muda mfupi. Fanya jambo mkuu, familia itakukumbuka mpaka vitukuu vyako
Kwani ulikuja na nini hapa duniani mkuu? Kwa uhakika 100% utaondoka bila kitu. Sana-sana watakupa kiwanja cha ft. sita kwa sita au pungufu ya hapo kiwe ni mali yako.Sina mali nyingi ila nashukuru Nina nyumba kadha wa kadha, viwanja , mashamba na mifugo kijijini kwetu.
Watoto wangu wanasoma na watamaliza bila shaka. Nimetafakari haya maisha hayana garantii naweza kufa saa yeyote je kwanini nisianze kula mali zangu taratibu kabla sijafa? Naombeni ushauri.
Watu wana ubinafsi sana, kuna mzee aliwahi kufanya hivyo akitegemea atakufa mapema, kilichotokea hela ikakata na bado anadunda na shida zimezidi.Hapo sasa yani ni upumbavu wa kiwango cha sgr....
Watoto mmewaleta duniani kwa starehe zenu wenyewe alafu unataka kuwaacha na shida wateseke?!!Tafuta mali zako na wewe acha makasiriko
Ukimshrikisha tu humalizi mwaka🐼🫵🏿Sijamshirikisha
Mungu fundiWatu wana ubinafsi sana, kuna mzee aliwahi kufanya hivyo akitegemea atakufa mapema, kilichotokea hela ikakata na bado anadunda na shida zimezidi.
Sana kila siku presha inapanda 😅Mungu fundi