Naombeni ushauri ndugu zangu, seriously kabisa. Kuna sauti kila siku haiishi kuniambia kuwa mke niliye nae sio!

Naombeni ushauri ndugu zangu, seriously kabisa. Kuna sauti kila siku haiishi kuniambia kuwa mke niliye nae sio!

Mkuu isikilize sauti ya ndani tafadhali ndio wewe anayekuambia kukuhusu wewe.
Pitia hii hapa Kama utaweza elewa English.

In combat situations often there is no time to deliberate about decisions. Gut instinct has been found to fill in the gaps that reason can't get at. And they teach intuition as part of decision making. It is this knowing without knowing how you know. I study the military because of their interest in peak performance under the stress of the battlefield and they have a lot of money and very smart minds to produce performance under pressure. Much better than most of the academic research .Reason and instinct really need to be taught how to work together in a our mind. The problem is that reason appears to be reasonable until it is put to the test. Then you find that it is slave to emotion. Without really learning how to work with your instinctual emotional nature, we typically work with half a brain and limited capacity to act under conditions of uncertainty.
Ahsante sana! Sio mahiri wa hii lugha lakini kipo nilichokielewa.
 
Me navyoona huyo ulonae unampotezea muda na utapata mwingine itakua vivohivyo, yani kama uwez kutunza mapungufu ya mwenzio na kuyafurahia mazuri yake ww shimo lako ni wale wadada wa buku buku basi.
🙏🙏
 
Ukweli najivuta sana, huo ndo ukweli
Sawa mkuu nimekuelewa

Ni hivi hujampenda huyo mdada na ndio nilichoona katika maelezo yako,ingawa watu hawakuelewi,na kibaya Zaidi huenda hata wewe umeshindwa kujieleza vizuri

Nilipitia hiyo Hali ndio maana imekuwa rahisi Mimi kukuelewa.

Pole Sana Kwa changamoto
 
Hiyo na 2,3&4 ni red flag za kutosha kabisa, bila shaka amelelewa na mama peke yake au kama baba yake yupo basi hana nguvu katika familia. Kumruhusu
mkeo kumsikiliza mama yake ni kosa kubwa coz unaruhusu ndoa yako iendeshwe kwa rimoti kutoka ukweni(kama sirikali inavyoendeshwa toka pwani) na ukiendelea kuruhusu hilo na mwanao kama ni wa kike ataenda kumjibu mumewe kama wewe unavyojibiwa na mkeo coz anakua na kujifunza na kama unavyojua maskio ya watoto ni macho.. Akiwa wa kiume ataendeshwa na mkewe
Ahsante, pamoja.
 
Hii thread inachekesha kwakweli!!!

-Wewe ndie mwenye Matatizo sababu unataka uingilie Uhuru wake umpangie hadi Mavazi eti avae according na wewe unavopenda while mwili ni wake yy Eboh😏

-Asizoeane na Mzazi wake ili iweje? Wewe utajiskiaje watoto wako wakija kukutenga sababu Wapenzi wao Wametaka hivo?

-Hilo Suala la kulima bora hata huyo kakubali kushika jembe😏

-Eti Ucheshi nayo ni kasoro!! Unataka ajitenge na Dunia nzima aambiwe anaringa.. ucheshi ni Karama si kila mtu kapewa..
Mume ndo kiongozi mkuu, yaani aishi vyovyote anavyotaka?
 
Mhimu ni kuzungumza nae mkuu. Wengine huona ya kawaida lakini ni vema kuyaweka wazi na mkajadili kwa pamoja ili yaishe au kupungua. Mama wakwe wengine wanakera si kidogo na ndugu wengine wa mke. Wakati mwingine huweza hata kuchangia ndoa kuvunjika. Utoaji wa taarifa zisizo rasmi kutoka ukweni kupitia kwa mkeo kuja kwako. Zungumzeni ili muweze kubalance mambo vizuri. Ucheshi na aina ya mavazi ni mambo yanayozungumzika sana. Labda kakulia uswahilini,,ahahaha
Shukrani
 
Kosea vitu vyote, lakini, usikosee kuoa.

Ushauri wangu kwako :
Kwakuwa tayari umeshamuoa na nafsi yako inakwambia umeingia chaka, kilichobakia huwezi kumwacha, maana ukimwacha utakuwa unatenda dhambi.

Cha kufanya, jifunze na jizoeze "kukubaliana kutokubaliana".
 
Kusema za kweli haki we unamtafutia sababu tu huyu Dada umuache. Na hapa Kuna mawili, eiza una limchepuko linakuharibu akili au umerogwa. Au vyote fullstop
Hata hakuna uchepukaji wa kuharibu ndoa, basi tu
 
Kabla hamjaoana mlikuwa wachumba kwa muda gani? Kabla hujamuoa alikuwa anavaa mavazi gani? kama ni dera imemkuta nalo hivyo huna budi kukubali hali.

Umeongelea kulima je ulimuoa awe jembe au ulimuoa awe msaidizi wako.
Sitachangia sababu unayemhofia kuwa yeye, ndiye huyo anayelala mapema sababu za uchovu.
Je, chakula anachopika kianatoka wapi?
 
Mama yake ndio binadamu wa kwanza kumuona alipoanza kupata ufahamu,huwezi kuzuia hilo.....sema tu humtaki
Uonwaji wa mama uwe wa kiasi.....mtoto ameshakuwa sio mtoto tena
 
itakuwa ni mchawi labda
inawezekana kuna vitu anafanya kwenye ulimwengu wa giza,ndoto za hivyo sana sana ni ukiwa unaishi na mshirikina unaweza kutahadharishwa kupitia ndoto ni muhimu kumchunguza na kuchunguza familia yake kwa umakini
si jambo la kupuuzia
Ahsante sana dada, nitazingatia.
 
Hapa kwenye [emoji116]

5. Uchapakazi hafifu (si mwenye kuweza kulima ipasavyo),

Nakushauri:
Nunua powertiller, inalima speed mno.
Ni million 10 TU unaepuka hii kero mkuu[emoji41]
Dah!
 
On serious note,
Yote uliyoelezea nmegundua
Mkeo ana tatizo la ujuaji mwingi.

Yaan she's is too much know,

Na hili Ni janga sana pale baba unapotaka kusimama fully Kama Kichwa Cha familia.

Cha kufanya,
Tumia "martial law" atarudi mstarini[emoji41]
Safi, ahsante
 
Daah basi ningekupa huyu nilienae basi ungekufa mapema,..vumilia ndugu kunamahali unaweza ukamuacha huyo ukapata kituko ambacho utajuta zaidi.hayo mapungufu yakawaida kabisa
Ahsante
 
Usijekuwa unanyemelewa na Schizophrenia mkuu, hilo lisauti linalopaza ndani yako kiasi cha kukuvuruga hivyo si hali ya kawaida! Kuna watu wamefanya maamuzi ya ajabu kwa sababu ya sauti kama hizo!
 
Back
Top Bottom