GreenCity
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 5,796
- 4,497
Hii umeiweka vizuri sana mkuu!Ni kawaida hiyo kwani kutokuwa bora kitandani kwa kulinganishwa na mtu mwingine inakupunguzia nini?unahisi inaondoa hadhi ya uanaume wako? Hapana si kweli kwani binadamu tumetofautiana hivyo wakati mwingine yatupasa kukubali mapungufu yetu. Ilimradi unamkojoza mambo mengine achana nayo, yawezekana aliongea ili akuumize na wewe umeumia kweli tena Sana.
Sasa ushauri wangu ni huu kaa na mkeo mueleze jinsi maneno yake yalivyokuumiza kiasi kwamba mpaka Leo umeshindwa kuyasahau. Lazima atajitetea kuwa aliongea kutokana na hasira lakini maneno yale hayakuwa na ukweli wowote. Hii itakujenga kisaikolojia na kurudisha hali yako ya zamani juu yake.
Naimani hata wewe Kuna binti wa watu hujamsahau mpaka leo jinsi alivyokuwa na k mnato na viuno vya kimakonde zaidi ya mkeo wa sasa na huu ndiyo uhalisia wa maisha.