Naombeni ushauri nikubali hili sharti nililopewa na ex wangu

Naombeni ushauri nikubali hili sharti nililopewa na ex wangu

Nishawahi tumia Mbinu hiyo,mshkaji alikaza kweli...sijui alikuwa anapiga nyeto Kenge yule...mbona niliifwata mwenyewe ghetto...Cha kufia nini 🤒
Haha kwahiyo unanishauri nikubali sharti lake ipo siku ataifuata getho
 
Habari wana jukwaa,uzi huu ni mrejesho wa ule uzi wangu unaosema “kwanini utoe namba kama hutaki kutoa ushirikiano”?. Baada ya kuona sipati chochote kutoka kwa namba mpya nikaamua nirudi kwa ex wangu wa muda mrefu kidogo na kutaka kurudiana nae hatimaye amenipa masharti mojawapo ni hili

Sharti langu ni kwamba nikiwa mpnz wako hutauona mwili wangu tenaaa mpk nikuone una malengo kweli.Yaani kiufupi tukishafungaa ndoaa au mimi kutambua familia yako na wewe kutambua yanguu
Ivoo usitegemeee ntakuvulia nguo tenaa”

View attachment 3250967 Nifanyeje hapa wanajukwaa?
Tafuta hela
 
Back
Top Bottom