Naombeni ushauri nikubali hili sharti nililopewa na ex wangu

Naombeni ushauri nikubali hili sharti nililopewa na ex wangu

Habari wana jukwaa,uzi huu ni mrejesho wa ule uzi wangu unaosema “kwanini utoe namba kama hutaki kutoa ushirikiano”?. Baada ya kuona sipati chochote kutoka kwa namba mpya nikaamua nirudi kwa ex wangu wa muda mrefu kidogo na kutaka kurudiana nae hatimaye amenipa masharti mojawapo ni hili

Sharti langu ni kwamba nikiwa mpnz wako hutauona mwili wangu tenaaa mpk nikuone una malengo kweli.Yaani kiufupi tukishafungaa ndoaa au mimi kutambua familia yako na wewe kutambua yanguu
Ivoo usitegemeee ntakuvulia nguo tenaa”

View attachment 3250967 Nifanyeje hapa wanajukwaa?
Huna akili
 
Hizo ni Sera tu... we kubali hayo masharti.... sahiv ana moto sana, atatulia mwenyewe..

Kwani ndio mara yako ya kwanz kupigwa masharti ya namna hiyo?
 
Back
Top Bottom