Naombeni ushauri nikubali hili sharti nililopewa na ex wangu

Habari wana jukwaa,uzi huu ni mrejesho wa ule uzi wangu unaosema “kwanini utoe namba kama hutaki kutoa ushirikiano”?. Baada ya kuona sipati chochote kutoka kwa namba mpya nikaamua nirudi kwa ex wangu wa muda mrefu kidogo na kutaka kurudiana nae hatimaye amenipa masharti mojawapo ni hili

Sharti langu ni kwamba nikiwa mpnz wako hutauona mwili wangu tenaaa mpk nikuone una malengo kweli.Yaani kiufupi tukishafungaa ndoaa au mimi kutambua familia yako na wewe kutambua yanguu
Ivoo usitegemeee ntakuvulia nguo tenaa”

View attachment 3250967 Nifanyeje hapa wanajukwaa?
Km ni Kwl wanaume wamezeeka umri wa Wasira.
 
Kwani kaka ulihombana na nyeto? Rudi kundini kaka stop engine 🤣🤣

Rules of Nyeto.
1. Haiombi nauli
2. Haina ubaguzi wa muda
3. Haina period
4. Inakupa utakacho
5. Inakupa ushirikiano 100%

Kaka piga nyero 🤣🤣
Acha hiyo kazi ya shetwani
 
Habari wana jukwaa,uzi huu ni mrejesho wa ule uzi wangu unaosema “kwanini utoe namba kama hutaki kutoa ushirikiano”?. Baada ya kuona sipati chochote kutoka kwa namba mpya nikaamua nirudi kwa ex wangu wa muda mrefu kidogo na kutaka kurudiana nae hatimaye amenipa masharti mojawapo ni hili

Sharti langu ni kwamba nikiwa mpnz wako hutauona mwili wangu tenaaa mpk nikuone una malengo kweli.Yaani kiufupi tukishafungaa ndoaa au mimi kutambua familia yako na wewe kutambua yanguu
Ivoo usitegemeee ntakuvulia nguo tenaa”

View attachment 3250967 Nifanyeje hapa wanajukwaa?
Kaoe Mzee hamna vya dezo dezo, mdada bana mapaja hivyo hivyo anataka vya Bure muonyeshe kwenu wapi akombe ruhusa، mdada umejitambua tulia hapo hapo.
 
Mkuu na hili pia unahitaji ushauri? Mbona jambo dogo ... Wewe tukikupa nchi si utauzaa wewe?
 
Back
Top Bottom