Naombeni ushauri: Nilichezea mshahara wa milioni 10

Kwa mjin

Kwa mburula kama wewe, biashara ya mihogo ya kuchoma ndiyo saizi yako.
 
S
Si ulichezea 10m kila mwezi, sasa subiri kuchezewa.
 
Pole sana Mkuu, lakini usiudhunike sana binadamu hujifunza kutokana na makosa. Wataalam wanasema kupata pesa ni suala lingine na kutengeneza mzunguko wa kudumu wa kupata fedha ni suala lingine. Wajapani, Waswizi, Wapare na wakorea wanaamini katika jitihada, ubahili na saving, Waisrael wanaamini katika kuhifadhi dhahabu na ubunifu, Nordic - nidhamu, wahindi wanaamini kumyonya mwingine, Latino wao wanaamini katika connection, rushwa and deals, waingereza na Marekani wanaamini katika competition, creativity and re-investing. Aidha, kuna group maalum kila sehemu linaloamini katika unyonyaji, wizi, utapeli, uporaji na unyang'anyi. Kwa wewe ambaye unaoneka ulipata money shock, ni vema ukawekeza kwenye eneo lenye resonable risk, jenga desturi ya saving na ukawa mstahimilivu katika kuhimili anguko la lifestyle.
 


Panda ndege nenda Dar
 
Niuzie mie hizo heka tano
 
Nywea tu bia na panda nayo ndege kila weekend utoke Dar na kwenda Kigoma.
 
Milion tano ni hela nyingi sana kwa yoyote anayetaka kuanza, wengi walianza wakiwa wana sifuri lakini wako mbali mno! Tofauti nawe mleta mada una mtaji mkubwa kwa kiasi chake.
Jishushe sana , kisha uanze chini wakati mmoja utajikuta juu sana .

Usijali kuhusu jana.
 
DJ weka wimbo Prof J wa Chemsha Bongo kwanza. Ukiisha huo weka Wa Twanga Pepeta unaoitwa "Umepotea" (Upatapo fahamu)
 
Kwa hyo pesa njoo nikupeleke kisarawe ununue ekali 10 kwa mil moja mil uendeleze shamba hilo kwa kupanda minazi na chenza na m 2 kuna biashara utafungua hapa nitakuelekeza na mil 1 ibaki kama akiba yako utanishukuru siku 1
 
Milioni kumi * 6 = 60m.
Kama umenunua gari plus eneo ekari 5 na una akiba ya 5m. Nakupa big up wala hujachezea pesa kumbuka ulikula bata pia. Kwa mwendo huo ungekua na hiyo kazi Kwa miaka 5 ungekua mbali sana. Angekua wa kiume hata boxsa asingenunua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…