Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wanaJf,
Mwezi wa 6 mwaka Jana nilipata kazi NGO moja huko Kigoma as a purchasing officer, nikilipwa mshahara+ Bonus + madili nilikuwa naingiza average ya million 10 kwa mwezi.
Pale walinipa short contract ya miezi 6 maana mradi wao upo kwenye closing phase.
Mkataba wangu umeisha mwanzoni mwezi huu.
Kinachoniuma ni katika kipindi hiki sijafanya Cha maana zaidi ya kununua gari na kununua eneo heka 5 huko morogoro.
Nilibadilisha lifestyle nikawa naishi kama bilionea huku mjini, Yani Kila wikendi napanda ndege naenda kusalimia ndugu Dar.
Mi nilijua tu lazima wataextend contract ila nimekuja kuhamaki hawaongezi. Just like that umasikini nilioutoroka umerudi kwa kasi
Ninawalaumu wanaJf maana hamkunishauri vizuri na Sasa mdogo wenu narudi kwenye umasikini.
Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?
Anyways, kwa sasa Nina saving ya mil5 niifanyie biashara gani hapa dar?
Unaishi mjini halafu unaenda kutembelea DarNilibadilisha lifestyle nikawa naishi kama bilionea huku mjini, Yani Kila wikendi napanda ndege naenda kusalimia ndugu Dar.
Si ulichezea 10m kila mwezi, sasa subiri kuchezewa.Habari wanaJf,
Mwezi wa 6 mwaka Jana nilipata kazi NGO moja huko Kigoma as a purchasing officer, nikilipwa mshahara+ Bonus + madili nilikuwa naingiza average ya million 10 kwa mwezi.
Pale walinipa short contract ya miezi 6 maana mradi wao upo kwenye closing phase.
Mkataba wangu umeisha mwanzoni mwezi huu.
Kinachoniuma ni katika kipindi hiki sijafanya Cha maana zaidi ya kununua gari na kununua eneo heka 5 huko morogoro.
Nilibadilisha lifestyle nikawa naishi kama bilionea huku mjini, Yani Kila wikendi napanda ndege naenda kusalimia ndugu Dar.
Mi nilijua tu lazima wataextend contract ila nimekuja kuhamaki hawaongezi. Just like that umasikini nilioutoroka umerudi kwa kasi
Ninawalaumu wanaJf maana hamkunishauri vizuri na Sasa mdogo wenu narudi kwenye umasikini.
Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?
Anyways, kwa sasa Nina saving ya mil5 niifanyie biashara gani hapa dar?
Pole sana Mkuu, lakini usiudhunike sana binadamu hujifunza kutokana na makosa. Wataalam wanasema kupata pesa ni suala lingine na kutengeneza mzunguko wa kudumu wa kupata fedha ni suala lingine. Wajapani, Waswizi, Wapare na wakorea wanaamini katika jitihada, ubahili na saving, Waisrael wanaamini katika kuhifadhi dhahabu na ubunifu, Nordic - nidhamu, wahindi wanaamini kumyonya mwingine, Latino wao wanaamini katika connection, rushwa and deals, waingereza na Marekani wanaamini katika competition, creativity and re-investing. Aidha, kuna group maalum kila sehemu linaloamini katika unyonyaji, wizi, utapeli, uporaji na unyang'anyi. Kwa wewe ambaye unaoneka ulipata money shock, ni vema ukawekeza kwenye eneo lenye resonable risk, jenga desturi ya saving na ukawa mstahimilivu katika kuhimili anguko la lifestyle.Habari wanaJf,
Mwezi wa 6 mwaka Jana nilipata kazi NGO moja huko Kigoma as a purchasing officer, nikilipwa mshahara+ Bonus + madili nilikuwa naingiza average ya million 10 kwa mwezi.
Pale walinipa short contract ya miezi 6 maana mradi wao upo kwenye closing phase.
Mkataba wangu umeisha mwanzoni mwezi huu.
Kinachoniuma ni katika kipindi hiki sijafanya Cha maana zaidi ya kununua gari na kununua eneo heka 5 huko morogoro.
Nilibadilisha lifestyle nikawa naishi kama bilionea huku mjini, Yani Kila wikendi napanda ndege naenda kusalimia ndugu Dar.
Mi nilijua tu lazima wataextend contract ila nimekuja kuhamaki hawaongezi. Just like that umasikini nilioutoroka umerudi kwa kasi
Ninawalaumu wanaJf maana hamkunishauri vizuri na Sasa mdogo wenu narudi kwenye umasikini.
Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?
Anyways, kwa sasa Nina saving ya mil5 niifanyie biashara gani hapa dar?
Habari wanaJf,
Mwezi wa 6 mwaka Jana nilipata kazi NGO moja huko Kigoma as a purchasing officer, nikilipwa mshahara+ Bonus + madili nilikuwa naingiza average ya million 10 kwa mwezi.
Pale walinipa short contract ya miezi 6 maana mradi wao upo kwenye closing phase.
Mkataba wangu umeisha mwanzoni mwezi huu.
Kinachoniuma ni katika kipindi hiki sijafanya Cha maana zaidi ya kununua gari na kununua eneo heka 5 huko morogoro.
Nilibadilisha lifestyle nikawa naishi kama bilionea huku mjini, Yani Kila wikendi napanda ndege naenda kusalimia ndugu Dar.
Mi nilijua tu lazima wataextend contract ila nimekuja kuhamaki hawaongezi. Just like that umasikini nilioutoroka umerudi kwa kasi
Ninawalaumu wanaJf maana hamkunishauri vizuri na Sasa mdogo wenu narudi kwenye umasikini.
Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?
Anyways, kwa sasa Nina saving ya mil5 niifanyie biashara gani hapa dar?
Niuzie mie hizo heka tanoHabari wanaJf,

Nywea tu bia na panda nayo ndege kila weekend utoke Dar na kwenda Kigoma.Habari wanaJf,

DJ weka wimbo Prof J wa Chemsha Bongo kwanza. Ukiisha huo weka Wa Twanga Pepeta unaoitwa "Umepotea" (Upatapo fahamu)Habari wanaJf,
Mwezi wa 6 mwaka Jana nilipata kazi NGO moja huko Kigoma as a purchasing officer, nikilipwa mshahara+ Bonus + madili nilikuwa naingiza average ya million 10 kwa mwezi.
Pale walinipa short contract ya miezi 6 maana mradi wao upo kwenye closing phase.
Mkataba wangu umeisha mwanzoni mwezi huu.
Kinachoniuma ni katika kipindi hiki sijafanya Cha maana zaidi ya kununua gari na kununua eneo heka 5 huko morogoro.
Nilibadilisha lifestyle nikawa naishi kama bilionea huku mjini, Yani Kila wikendi napanda ndege naenda kusalimia ndugu Dar.
Mi nilijua tu lazima wataextend contract ila nimekuja kuhamaki hawaongezi. Just like that umasikini nilioutoroka umerudi kwa kasi
Ninawalaumu wanaJf maana hamkunishauri vizuri na Sasa mdogo wenu narudi kwenye umasikini.
Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?
Anyways, kwa sasa Nina saving ya mil5 niifanyie biashara gani hapa dar?
Biashara gani hiyo?Kwa hyo pesa njoo nikupeleke kisarawe ununue ekali 10 kwa mil moja mil uendeleze shamba hilo kwa kupanda minazi na chenza na m 2 kuna biashara utafungua hapa nitakuelekeza na mil 1 ibaki kama akiba yako utanishukuru siku 1
Tena nyinyi ndo mna advantage kubwa sanaMmh mi wakike Swez fanya bolt
Biashara huku zipo nyingi nikukaa na kufanya sélection maana hapa kutoka kigogo stend hadi unafika maneromango ni wastani wa lisali 1 na nusuBiashara gani hiyo?