fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,305
- 5,355
Mshahara wa milioni kumi kwa miezi 6 ni milioni 60.ukitoa gharama za kuishi kwa muda huo labda milioni 20 .hizo 40 umenunua eneo la ekari 5 na gari .una bado umebaki na milioni 5 .
Hujafuja pesa kabisa umetumia vizuri hongera,sasa hizo tano njoo nazo katavi unakodi shamba la heka 5 kwa laki tano.unatumia milioni mbili kupanda mahindi,mchele,viazi,karanga baada ya mwaka utakuja kunishukuru