Naombeni ushauri: Nilichezea mshahara wa milioni 10

Naombeni ushauri: Nilichezea mshahara wa milioni 10

Sasa dada hapo Kasulu sijui kibondo ulikuwa unafanya starehe gani
Na msichana unatumiaje hela yako kwenye starehe au vikao vyetu huwa haudhurii
Joannah Amehlo huyu mnamuachaga wapi kwenye vikaoo
 
Wazo hili hapa .....anza kuwafuga mwenyewe

Lakini shida ilianzia ulipoanza kugoma kwenda church ukiambiwa na wazazi rudi kwenye thread zako kazipitie vizuri
ila waja
 
Mbona hela ndogo sana hio utapata zingine usijutie.
Mimi nimepoteza 350M na still nipo happy nachukulia ni malipo ya Ada ya kujifunza maisha.
Mapito ni funzo ili kesho uwe Bora zaidi.
 
Sasa dada hapo Kasulu sijui kibondo ulikuwa unafanya starehe gani
Na msichana unatumiaje hela yako kwenye starehe au vikao vyetu huwa haudhurii
Joannah Amehlo huyu mnamuachaga wapi kwenye vikaoo
Alikuwa busy kwenye starehe Vikao Kila siku udhuru!haya ndio matokeo yake....Hela ya starehe ni jukumu la mwanaume Kila siku tunawaambia humu hayo ndio madhara ya kujifanya independent woman...
 
Alikuwa busy kwenye starehe Vikao Kila siku udhuru!haya ndio matokeo yake....Hela ya starehe ni jukumu la mwanaume Kila siku tunawaambia humu hayo ndio madhara ya kujifanya independent woman...
😘😘😘
 
Nikishagundua mtu hayuko serious na anachokiomba au uliza nampa ushauri ule ule wa namna yeye kajiweka.

Ushauri :

Make sure una baby face + Good Looking, mengine yatajipa mbele ya safari,5m + ulichopewa Bure na Muumba wako are enough to bring you up again.

Use them wisely.
 
Ukute gari yenyewe IST na heka 5ziko Matombo!ila jamani ukiwa fungu la kukosa ni la kukosa
Ila angalau kafanya kitu na kala bata ila angekuwa mwanaume asingenunua hata boxa zote zingeishia kwenye mbususu.
 
Back
Top Bottom