Naombeni ushauri: Nilichezea mshahara wa milioni 10

Kwani mkuu unatuonaje labda ila naamini ww ni ke ndani ya me sasa usituchukulie poa kabisa na usijisahau
 
Fursa ilikuja ukashindwa kuitumia. Sioni kama una tofauti na yule aliyeuza nyumba na kununua gari ya matanuzi.
 
Habari wanaJf,

Mwezi wa 6 mwaka Jana nilipata kazi NGO moja huko Kigoma as a purchasing officer, nikilipwa mshahara+ Bonus + madili nilikuwa naingiza average ya million 10 kwa mwezi.

Pale walinipa short contract ya miezi 6 maana mradi wao upo kwenye closing phase.

Mkataba wangu umeisha mwanzoni mwezi huu.

Kinachoniuma ni katika kipindi hiki sijafanya cha maana zaidi ya kununua gari na kununua eneo heka 5 huko Morogoro.

Nilibadilisha lifestyle nikawa naishi kama bilionea huku mjini, Yaani Kila wikendi napanda ndege naenda kusalimia ndugu Dar.

Mimi nilijua tu lazima wataextend contract ila nimekuja kuhamaki hawaongezi. Just like that umasikini nilioutoroka umerudi kwa kasi.

Ninawalaumu wanaJf maana hamkunishauri vizuri na Sasa mdogo wenu narudi kwenye umasikini.

Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?

Anyways, kwa sasa Nina saving ya mil 5 niifanyie biashara gani hapa Dar?
1. Ukishauriwa changanya na za kwako hilo chukua bure sikutozi pesa.

2. Wewe una wazo la biashara gani?
Ukijibu hili tayari utakuwa una mwanga mzuri wa ni nini ufanye.

Closure ikimalizika chukua NSSF yako kisha amza biashara uipendayo. Binafsi nafanya biashara ya nyama inalipa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wanaJf,

Mwezi wa 6 mwaka Jana nilipata kazi NGO moja huko Kigoma as a purchasing officer, nikilipwa mshahara+ Bonus + madili nilikuwa naingiza average ya million 10 kwa mwezi.

Pale walinipa short contract ya miezi 6 maana mradi wao upo kwenye closing phase.

Mkataba wangu umeisha mwanzoni mwezi huu.

Kinachoniuma ni katika kipindi hiki sijafanya cha maana zaidi ya kununua gari na kununua eneo heka 5 huko Morogoro.

Nilibadilisha lifestyle nikawa naishi kama bilionea huku mjini, Yaani Kila wikendi napanda ndege naenda kusalimia ndugu Dar.

Mimi nilijua tu lazima wataextend contract ila nimekuja kuhamaki hawaongezi. Just like that umasikini nilioutoroka umerudi kwa kasi.

Ninawalaumu wanaJf maana hamkunishauri vizuri na Sasa mdogo wenu narudi kwenye umasikini.

Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?

Anyways, kwa sasa Nina saving ya mil 5 niifanyie biashara gani hapa Dar?
Nunua GUTA man!!! "litakusaidia kutumwa na mabosi wako wako wapya"wenye magenge"kwenda kuwanunulia mikungu ya ndizi,kabichi,nyanya na kdhalika man!!!!'...alaf karbu nikufundishe kutongoza mademu wabovu wasiopiga mswaki huku kwenye ubanda wa mnazi man!!!...karibu UGUMUNI MAN!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Habari wanaJf,

Mwezi wa 6 mwaka Jana nilipata kazi NGO moja huko Kigoma as a purchasing officer, nikilipwa mshahara+ Bonus + madili nilikuwa naingiza average ya million 10 kwa mwezi.

Pale walinipa short contract ya miezi 6 maana mradi wao upo kwenye closing phase.

Mkataba wangu umeisha mwanzoni mwezi huu.

Kinachoniuma ni katika kipindi hiki sijafanya cha maana zaidi ya kununua gari na kununua eneo heka 5 huko Morogoro.

Nilibadilisha lifestyle nikawa naishi kama bilionea huku mjini, Yaani Kila wikendi napanda ndege naenda kusalimia ndugu Dar.

Mimi nilijua tu lazima wataextend contract ila nimekuja kuhamaki hawaongezi. Just like that umasikini nilioutoroka umerudi kwa kasi.

Ninawalaumu wanaJf maana hamkunishauri vizuri na Sasa mdogo wenu narudi kwenye umasikini.

Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?

Anyways, kwa sasa Nina saving ya mil 5 niifanyie biashara gani hapa Dar?
Wizi, wizi, wizi! Taifa laangamia!
 
Pambana, kila kitu kina changamoto zake.

Pia tukushauri ukiwa kapuku, wakati unazo unashauriwa na wengine?
 
Tafuta bodaboda mpe futa mnunulie Boxer mpya akuletee chips kila siku.
 
Back
Top Bottom