Naombeni ushauri: Nilichezea mshahara wa milioni 10

Milioni kumi * 6 = 60m.
Kama umenunua gari plus eneo ekari 5 na una akiba ya 5m. Nakupa big up wala hujachezea pesa kumbuka ulikula bata pia. Kwa mwendo huo ungekua na hiyo kazi Kwa miaka 5 ungekua mbali sana. Angekua wa kiume hata boxsa asingenunua
Ndugu acha kudanganya tunalipwa vilaki 4 vitano huko mbona tunawekeza hayo mashamba tunayo tena maeneo potentiel kabisa
 
Una wazazi?
 
Milioni kumi * 6 = 60m.
Kama umenunua gari plus eneo ekari 5 na una akiba ya 5m. Nakupa big up wala hujachezea pesa kumbuka ulikula bata pia. Kwa mwendo huo ungekua na hiyo kazi Kwa miaka 5 ungekua mbali sana. Angekua wa kiume hata boxsa asingenunua
Mkuu umenisema mimi kabisa.
 
Mleta mada kama shamba lako la moro lina chanzo cha maji cha uhakika njoo tuyajenge unikodishie
 
Danish Refugee Council(DRC) wametangaza nafasi ya Supply Chain Team Leader upande wa Procurement jaribu kuomba,biashara itakupasua kichwa hasa kipindi hiki ambacho unaonekana kuwa na stress pia utapoteza kiasi kidogo ulichobaki nacho.
 
Attachments

  • 20240121_085411.jpg
    28.7 KB · Views: 5
'nilikuwa naingiza average ya million 10 kwa mwezi'

amka ndotoni utajinyea dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…