Naombeni ushauri: Nilichezea mshahara wa milioni 10

Mshahara wa milioni kumi kwa miezi 6 ni milioni 60.ukitoa gharama za kuishi kwa muda huo labda milioni 20 .hizo 40 umenunua eneo la ekari 5 na gari .una bado umebaki na milioni 5 .
Hujafuja pesa kabisa umetumia vizuri hongera,sasa hizo tano njoo nazo katavi unakodi shamba la heka 5 kwa laki tano.unatumia milioni mbili kupanda mahindi,mchele,viazi,karanga baada ya mwaka utakuja kunishukuru
 
Kwamba huko kilimo ni uhakika?
 
Ndio biashara zipi hizo mkuu?
Biashara huku zipo nyingi nikukaa na kufanya sélection maana hapa kutoka kigogo stend hadi unafika maneromango ni wastani wa lisali 1 na nusu
 
Mkuu, unge check na ndugu kwanza uwaambie kuwa sasa hauna kazi, wanaweza wakakushauri vizuri.
 
Uzi kama huu ile mwanzo ulishauriwaje?
 
Nenda kwenye baa yenye mademu wengi chakaza hata hyo iliyobaki then akili itakuja
 
Ulikuwa 60 m baada ya miezi 6 una 5 m.Kumbuka tu fursa aiji mara mbili.
 
'nilikuwa naingiza average ya million 10 kwa mwezi'

amka ndotoni utajinyea dogo
Anachosema ni sahihi,waliofanya kazi kwenye mashirika yanayohudumia wakimbizi wanafahamu.Kupata 10M kwa mshahara+bonus+ deals ni sahihi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…