Naombeni ushauri: Nilichezea mshahara wa milioni 10



Nenda kitambaa kaimalizie ili akili ikae sawa. Uanze tena kuishi
 
😂😂 Eti nilikuwa naishi Kama bilionea.
Natamani kujua wew ni kabila, Ila wew utakuwa msafwa.
 
OLEWA SASA ILI KUPUNGUZA MACHUNGU.
 
Kina dada kwenye kutumbua na kuishi maisha ya gharama hamjambo.
Akizipata tu, usafiri wake ni ndege, anunue gari ila huwa wanasahau savings na kukumbuka dharau tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…